Fixed deposit kwa sasa hazina faida tena

Watu wa benki wakati mwingine huwa hawaeleweki.
Ukienda mwenye nyumba wanakwambia wanataka uwe na duka,akienda mtu mwenye duka anaambiwa tunataka mwenye mali isiyohamishika nyumba au kiwanja,na akienda mwenye vyote hivi ataambiwa tunataka mtu aliyeajiriwa na kampuni ndio mdhamini wake.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Dah walitaka kukupiga na hela zako za illuminati [emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…