Fixed deposit kwa sasa hazina faida tena

Fixed deposit kwa sasa hazina faida tena

Mimi nina mjengo nataka kuuchukulia mkopo.panaponishinda ni pale wanaponitaka niwe na duka na account ya miezi sita
Hapo nina account so sina duka je hakuna bank inayoweza nipa mkopo lwa kutumia dhamana ya nyumba?
TAFADHARI NWENYE MICHONGO HII TUKUTANE IN BOX TAFADHARI
Watu wa benki wakati mwingine huwa hawaeleweki.
Ukienda mwenye nyumba wanakwambia wanataka uwe na duka,akienda mtu mwenye duka anaambiwa tunataka mwenye mali isiyohamishika nyumba au kiwanja,na akienda mwenye vyote hivi ataambiwa tunataka mtu aliyeajiriwa na kampuni ndio mdhamini wake.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Dah walitaka kukupiga na hela zako za illuminati [emoji22]
 
Back
Top Bottom