Fixed deposit kwa sasa hazina faida tena

Mimi nina mjengo nataka kuuchukulia mkopo.panaponishinda ni pale wanaponitaka niwe na duka na account ya miezi sita
Hapo nina account so sina duka je hakuna bank inayoweza nipa mkopo lwa kutumia dhamana ya nyumba?
TAFADHARI NWENYE MICHONGO HII TUKUTANE IN BOX TAFADHARI
 
Yaani unawaongezea benki mtaji ili wazungushe mwaka mzima then wakupe kasehemu kaduchu sana cha faida yao

Kwanini wewe usizungushe hiyo hela kama mtaji wako upate faida, kwa mwaka huoni utakuwa umeingiza zaidi ya M10?
 
Habari wakuu

Leo nimeenda bank branch ya NMB nikawaomba wanifanyie hesabu ya milioni 40 kwa muda wa mwaka, wanadai hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida

Sasa just imagine unawapa milioni 40 ndani ya kipindi cha mwaka mzima usubirie 240k si wizi huu!
Nenda Access Microfinance Bank wanatoa mpaka 14% kwa mwaka. Hiyo 40m unaweza tengeneza mpaka 5.6m kabla ya kodi.
 
Habari wakuu

Leo nimeenda bank branch ya NMB nikawaomba wanifanyie hesabu ya milioni 40 kwa muda wa mwaka, wanadai hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida

Sasa just imagine unawapa milioni 40 ndani ya kipindi cha mwaka mzima usubirie 240k si wizi huu!
Mh sio kweli, hiyo 240k ni hela ya wewe kupokea kwa mwezi, kuna namna kwenye taarifa zimekufika taarifa zisizo sahihi
 
Mimi nina mjengo nataka kuuchukulia mkopo.panaponishinda ni pale wanaponitaka niwe na duka na account ya miezi sita
Hapo nina account so sina duka je hakuna bank inayoweza nipa mkopo lwa kutumia dhamana ya nyumba?
TAFADHARI NWENYE MICHONGO HII TUKUTANE IN BOX TAFADHARI
Mkuu hukipata majibu niambie na mie. Maana mie nimeambiwa bila salary slip nisahau kupata mkopo sasa naishia kuteseka wakati viwanja na nyumba za urithi zipo bwana
 
Za kiboya sana izo nilifuatiliaga nikaona faida yke ni ndogo San Bora uwekeze kwingine
 
Yaani unawaongezea benki mtaji ili wazungushe mwaka mzima then wakupe kasehemu kaduchu sana cha faida yao

Kwanini wewe usizungushe hiyo hela kama mtaji wako upate faida, kwa mwaka huoni utakuwa umeingiza zaidi ya M10?
Shkda u aizungusha wapi.
 
Habari wakuu

Leo nimeenda bank branch ya NMB nikawaomba wanifanyie hesabu ya milioni 40 kwa muda wa mwaka, wanadai hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida

Sasa just imagine unawapa milioni 40 ndani ya kipindi cha mwaka mzima usubirie 240k si wizi huu!
UPDATE

HABARI WAKUU NAPENDA KUFUNGA HUU MJADALA NILIOULETA HAPA JUKWAANI BAADA YA KWENDA KWENYE TAWI JENGINE LA BANK YA NMB NAKUONANA MANAGE CST CARE NIKAMUOMBA ANIFANYIE HESABU YA MILION 40 KWA MIEZI 12 KANIPA 2,160,000 BAADA YA TAX YA 240,000
 
Nenda Access Microfinace Bank wanatoa 14% kwa mwaka. Unaruhusiwa kuchukua faida mwanzo wa mkataba. Hiyo 40m hukosi 5.6m kabla ya kodi.
 
Mkuu hukipata majibu niambie na mie. Maana mie nimeambiwa bila salary slip nisahau kupata mkopo sasa naishia kuteseka wakati viwanja na nyumba za urithi zipo bwana
[emoji2][emoji2][emoji2]powa mkuu
 
Habari wakuu

Leo nimeenda bank branch ya NMB nikawaomba wanifanyie hesabu ya milioni 40 kwa muda wa mwaka, wanadai hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida

Sasa just imagine unawapa milioni 40 ndani ya kipindi cha mwaka mzima usubirie 240k si wizi huu!
Mkuu labda hukuelewana na mtoa huduma, ulienda lini wewe? Mimi nimefungua wiki iliyopita kwa kiasi hicho cha 40M riba sio hiyo uliyotaja hapo.
 
Nenda Access Microfinace Bank wanatoa 14% kwa mwaka. Unaruhusiwa kuchukua faida mwanzo wa mkataba. Hiyo 40m hukosi 5.6m kabla ya kodi.
kianzio cha kuweka kinaanzia shilingi ngapi
 
Jaribu Government bond au Financial institutions bonds rate zao ni nzuri tofauti na hizo ulizopewa na NMB.
Pia UTT wako vizuri ila kama unaweza kurisk unaweza kujaribu Mr Kuku farmers watakupa 20% kwa miezi 3
 
Back
Top Bottom