Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
Matokeo yanajulikanaje na mechi bado haijachezwa? Hebu fafanua basi braza!Mechi ambayo matokeo yake yameishajulikana
Mj, lakin wapo agents ambao wanatoa real fixed matches si ndio?Ni matokeo ya kupanga ,siku hizi makampuni ya betting yanahonga timu kupanga matokeo ili wale hela za watu.
Lakini wengi wanaouza hizo fixed matches wengi ni matapeli tu
Mfano wake ni kama ule ushindi wa CCM&Magufuli 2020.Matokeo yanajulikanaje na mechi bado haijachezwa? Hebu fafanua basi braza!
SidhaniMj, lakin wapo agents ambao wanatoa real fixed matches si ndio?
Ziko mfano juz kuna Tim ya Kenya inayoshirikSidhani
Kwahiyo kiuhalisia betting companies wanafanya hicho kitu lakin hiyo siri haivuji si ndio?Sidhani
Kwamba inakubali ifungwe halafu wanalipwa si ndio?Ziko mfano juz kuna Tim ya Kenya inayoshirik
Ligi ya Kenya primie lig ilishushwa daraja na FIFA kutokana na kupatikana na tuhuma za kupanga matokeo
Eewwaaa hvo sasaKwamba inakubali ifungwe halafu wanalipwa si ndio?
Kamwandiko kazuri kwenye titleHabarin za jion wana sport na heri ya sikukuu ya Eid.
Labda niende moja kwa moja kwenye point nimejaribu kugoogle lakin sijaridhishwa na majibu yao. Nakua naona watu wanauza odds na kunakuwa na maneno kama "fixed match", hili neno(sentensi) maana yake nini hasa, naomba kueleweshwa.
Natumia hiyo app kwenye link na Kama unataka ambayo ipo modded sema nikupe link piaKamwandiko kazuri kwenye title
Duh hapo nimekupata kaka!Eewwaaa hvo sasa
"KAMA HIVI" unaweza andika bila kutumia app yoyote, JF pekee inatoshaKamwandiko kazuri kwenye title
Lakin kwenye heading huwez kufanya hicho kitu braza, labda uwe na app fulan special"KAMA HIVI" unaweza andika bila kutumia app yoyote, JF pekee inatosha