fixed match, maana yake nini?

fixed match, maana yake nini?

Pastory Kimaryo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
967
Reaction score
668
Habarin za jion wana sport na heri ya sikukuu ya Eid.

Labda niende moja kwa moja kwenye point nimejaribu kugoogle lakin sijaridhishwa na majibu yao. Nakua naona watu wanauza odds na kunakuwa na maneno kama "fixed match", hili neno(sentensi) maana yake nini hasa, naomba kueleweshwa.
 
Ni matokeo ya kupanga ,siku hizi makampuni ya betting yanahonga timu kupanga matokeo ili wale hela za watu.

Lakini wengi wanaouza hizo fixed matches wengi ni matapeli tu
 
Mj, lakin wapo agents ambao wanatoa real fixed matches si ndio?
 
Ziko mfano juz kuna Tim ya Kenya inayoshirik
Ligi ya Kenya primie lig ilishushwa daraja na FIFA kutokana na kupatikana na tuhuma za kupanga matokeo
Kwamba inakubali ifungwe halafu wanalipwa si ndio?
 
Habarin za jion wana sport na heri ya sikukuu ya Eid.

Labda niende moja kwa moja kwenye point nimejaribu kugoogle lakin sijaridhishwa na majibu yao. Nakua naona watu wanauza odds na kunakuwa na maneno kama "fixed match", hili neno(sentensi) maana yake nini hasa, naomba kueleweshwa.
Kamwandiko kazuri kwenye title
 
Back
Top Bottom