fixed match, maana yake nini?

fixed match, maana yake nini?

Ni kwamba anawafanyia timu ndogo au anafanya timu yake mwenyewe ifungwe, au we ni Yanga?
 
Habarin za jion wana sport na heri ya sikukuu ya Eid.

Labda niende moja kwa moja kwenye point nimejaribu kugoogle lakin sijaridhishwa na majibu yao. Nakua naona watu wanauza odds na kunakuwa na maneno kama "fixed match", hili neno(sentensi) maana yake nini hasa, naomba kueleweshwa.
Fixed match ni 4-0
 
Ikishindikana tutachezea uwekezaji wa SoKA Tu hakuna mtu aliyezaliwa kufikiria dharau... Huo mfumo wanaujua Bora hata ya Simba kupigwa 4. Mengine Yaja watakosa pumzi uwanjani. "Hatuna hadhi ya kucheza hata SoKA"


Kweli ukiwa rais tutazaa watoto wengi na wengi utawarisha vizuri kuongea hela Kwa watu itakuwa kipaumbele kila raheri mheimiwa maana ni kusafiri kila siku maana tutakuwa wengi la sivyo incumbeta ya mwanadamu inatakiwa ili wazaliane Sana, wahazee bar, nyumba za kupanga, gesti la sivyo lawama za kufikiri masaa 24 Kwa baadhi ya watu wengine wale maisha
Braza hebu tumia lugha
Rahis kidogo tukuelewe
 
Back
Top Bottom