mmmmmnh mbona kila mmoja wenu anamlizia na..samahani kama nimekukwaza???? mnakwazana kwanini???? hope sijamkwaza yeyote LOL
Siku ya leo sjui imekaaje kaaje- mi tayari nilishaingia choo cha kike mara 2kali nyingine hiii😀
AM SORRY KAMA NIMEKUKWAZANimesoma Profile yako sijapata nilichokuwa natafuta ulikuwa unatafuta nn?
Nimekutumia PM bila majibu..umeni-ignore (not fair)lazima akujibu?
Kupitia Post yako ya leo najisikia kumwambia mme wangu nampenda ni kweli umeolewa ?? Ni kweli ulikuwa unamanisha ?hata kama hajaolewa inahuuuuuu,asipomaanisha unatakani
Kupitia post ya Pearl .. 1st lady: mcha Mugu,anampenda mumewe,anapenda kazi,mdada mwenye heshima zake....
Naomba kwa niaba ya wana JF utujuze mmeo ni nani ndani ya JF ..kama kweli unampenda ..tumjue shemeji yetu ..?hata kama hampendi ndo kesha olewa nae till death do zem pat
Je michango yako katika jukwaa la mapenzi na mapendo (mzee hasikii wivu)hana wivu anamoyo wa chuma
I love you FL1,she loves me n my Twin npot u
**********
yeomiiiii!!!! you are so determined huh!!!
hakuna mwenye kosa kati yako na yeye ila wewe unaelekea kweny ekutenda kosa kama utang'ang'ana wakati yeye hataki...utakuwa nuisance kwa mama wa rais atakushtaki shauri yako!!!
ni angalizo tu.....plz usikwazike!!
yeomiiiii!!!! you are so determined huh!!!
hakuna mwenye kosa kati yako na yeye ila wewe unaelekea kweny ekutenda kosa kama utang'ang'ana wakati yeye hataki...utakuwa nuisance kwa mama wa rais atakushtaki shauri yako!!!
ni angalizo tu.....plz usikwazike!! [QUOTE]
Mbona unaharibu uhondo wa kibwagizo chetu tena?
Samahani kama nitakuwa nimekukwaza! 🙂
😀😀😀!!!!!!Masaki pls nielewe mimi ni Mwanamke namsubiri FL1 anipe majibu usiwe na jazba darling ni simple tu anijibu sijamuhukumu kifo
Masaki pls nielewe mimi ni Mwanamke namsubiri FL1 anipe majibu usiwe na jazba darling ni simple tu anijibu sijamuhukumu kifo
Amekukwaza nini na wewe?samahani saaaaaaaaaaaaaaaaaana hapo umenikwaza weewe dada!!!
yeomiiiii!!!! you are so determined huh!!!
hakuna mwenye kosa kati yako na yeye ila wewe unaelekea kweny ekutenda kosa kama utang'ang'ana wakati yeye hataki...utakuwa nuisance kwa mama wa rais atakushtaki shauri yako!!!
ni angalizo tu.....plz usikwazike!! [QUOTE]
Mbona unaharibu uhondo wa kibwagizo chetu tena?
Samahani kama nitakuwa nimekukwaza! 🙂
samahani kama nimekukwaza!!!!
hahaa iribini ile sla gani tena unaitikia the same thing mpaka unasinzia
......'utuombee' oooh yeah litani
Amekukwaza nini na wewe?
Samahani kama nimekukwaza!
Masaki pls nielewe mimi ni Mwanamke namsubiri FL1 anipe majibu usiwe na jazba darling ni simple tu anijibu sijamuhukumu kifo
Aulizaye anataka kujua ..FL1 naomba nijibu dadaangu ..i hope hujachukia !!..
hata mzee wako anaweza kujibu kwa niaba kama vidole vimeshindwa kutype..
watu /people mbona hamunielewi .. mie ni mwanamke kama kina Bht ,MJ1,Pearl ,Nyamayao ,na wengineo wote

samahani saaaaaaaaaaaaaaaaaana hapo umenikwaza weewe dada!!!
pole bht !!
ila namhitaji FL1 tuwe na amani
samahani saaaaaaaaaaaaaaaaaana hapo umenikwaza weewe dada!!!
Amekukwaza nini na wewe?
Samahani kama nimekukwaza!
darling!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kwani yeye ni darling wa masaki biggy??
pole bht !!
ila namhitaji FL1 tuwe na amani
Jamanieeeeeeeeeeeeeeeeee! Mbona mnanikwaza na hizi ofutopiki zenu?mko nje ya mada kabisa.
samahanini kama nitakuwa nimewakwaza!