Flagily na cipro kwa mjamzito

Flagily na cipro kwa mjamzito

madameT

Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
46
Reaction score
5
Habari wakuu,

Samahani, mi nauliza, je, kuna madhara yoyote kwa mwanamke mwenye mimba changa kama wiki moja kutumia hizo dawa? Pia kutoka na vidonda mdomoni (ukosefu wa vitamin B nadhani) kuna madhara yoyote kwa mjamzito wa mimba ya wiki moja?

Msaada tafadhali.
 
Ni hatari hairuhusiwi, unataka kutoa mimba?
 
(Samahani kwa comment hii)
Kuna siku mtu mmoja alikuwa anaomba msaada juu ya dawa kama hizi, kwamba ana ugonjwa flani unaomsumbua hivo anataka ushauli endapo hazitamdhuru.

*Baadaye ikaja gundulika kuwa alikuwa anataka kujua endapo hizo dawa zinauwezo wa kutoa mimba/embryo au la!, baadaya ya kuambiwe asitumie zinaweza kumdhuru mtoto aliye tumboni na hata kutoa mimba, basi alipata jibu na kuanza kutumia kama mbadala kuchomolea embryo//matured pregnant.
TUWE MAKINI.
 
Hapana chaki sitaki kutoa but niliumwa tumbo nikawa nahara nikanywa flagily baada ya kumaliza doz niliona natokwa uchafu wa haunuki ndio nikanunua cpro ili nikaushe ule ute sasa baada ya 2 wk nikagundua niko pregnant.sasa zile dawa zitanizuru vp na kiumbe na nifanyaje kujinusuru hayo mazara?
 
Mi sihitaji kutoa mimba nataka kuzaa mimba nikitaka kutoa natumia musoprosal na vdonge flan nimevisahau jima na kunadawa ya kichina jina siwezi kuliandika.hapa nimeomba mnisaidie nimepata mazara gan na nitafanyaje kujikinga na kiumbe that all kutoa mi dawa nyingi nazijua mkuu.msaada wenu please
 
Hapana chaki sitaki kutoa but niliumwa tumbo nikawa nahara nikanywa flagily baada ya kumaliza doz niliona natokwa uchafu wa haunuki ndio nikanunua cpro ili nikaushe ule ute sasa baada ya 2 wk nikagundua niko pregnant.sasa zile dawa zitanizuru vp na kiumbe na nifanyaje kujinusuru hayo mazara?
Kawaida ukishakuwa na mimba ata ya wiki moja lazima kila unapotaka kutumia dawa upate ushauri wa daktari na pia utashauriwa jinsi ya kuitunza mimba yako,na kipi ni kipindi kizuri cha kuanza kliniki,Ni vizuri ukaelewa kuwa Tanzania bado tuna kiwango cha juu cha vifo vya wazazi na mtoto,wakati wa ujauzito na wakati wa kujifungua
 
Asante chasuzy ila wakati natumia sikujua kama mi ni mjamzito
 
Asante.
Kwanza hiyo fragily hutumika mara kadhaa kutibu maambukizi ya bakteria wapatikanao ukeni, tumbo, ngozi, viungo, na njia ya kupumua. Lakini pia dawa hii si ya kutibu uke bali uondoa chachu ya maambukizo, effects.

Kutokana na maelezo hayo ni pamoja na kutoruhusiwa kuitumia ukiwa matured pregnant, sasa juu ya hali uliyo nayo nakushauli nenda kwa daktari haraka maana si kawaida kwa maelezo yako.
 
Wakuu Ahsanteni Kwa Elimu Nzuri , Kama Hali Ni Hii Basi Itatufaa Hata Sisi Tulio Na Ndoa Changa Kuchukua Tahadhari
 
Back
Top Bottom