Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakuu,
Samahani, mi nauliza, je, kuna madhara yoyote kwa mwanamke mwenye mimba changa kama wiki moja kutumia hizo dawa? Pia kutoka na vidonda mdomoni (ukosefu wa vitamin B nadhani) kuna madhara yoyote kwa mjamzito wa mimba ya wiki moja?
Msaada tafadhali.
(Samahani kwa comment hii)
Kuna siku mtu mmoja alikuwa anaomba msaada juu ya dawa kama hizi, kwamba ana ugonjwa flani unaomsumbua hivo anataka ushauli endapo hazitamdhuru.
*Baadaye ikaja gundulika kuwa alikuwa anataka kujua endapo hizo dawa zinauwezo wa kutoa mimba/embryo au la!, baadaya ya kuambiwe asitumie zinaweza kumdhuru mtoto aliye tumboni na hata kutoa mimba, basi alipata jibu na kuanza kutumia kama mbadala kuchomolea embryo//matured pregnant.
TUWE MAKINI.
Kawaida ukishakuwa na mimba ata ya wiki moja lazima kila unapotaka kutumia dawa upate ushauri wa daktari na pia utashauriwa jinsi ya kuitunza mimba yako,na kipi ni kipindi kizuri cha kuanza kliniki,Ni vizuri ukaelewa kuwa Tanzania bado tuna kiwango cha juu cha vifo vya wazazi na mtoto,wakati wa ujauzito na wakati wa kujifunguaHapana chaki sitaki kutoa but niliumwa tumbo nikawa nahara nikanywa flagily baada ya kumaliza doz niliona natokwa uchafu wa haunuki ndio nikanunua cpro ili nikaushe ule ute sasa baada ya 2 wk nikagundua niko pregnant.sasa zile dawa zitanizuru vp na kiumbe na nifanyaje kujinusuru hayo mazara?