Flash back, Mj akifanya shopping Las Vegas

Flash back, Mj akifanya shopping Las Vegas

Aiseee kweli kuna watu wameishi hapa Duniani, hii clip ni ya MJ akifanya shopping mitaa ya Las Vegas , shopping anaifanya kwa kunyoosha kidole tuu , hajali kuhusu bei, yeye ni mwendo wa kunyoosha tuu kidole “Nataka hicho” ...

Kweli sanaa inalipa, juzi huku kwetu ndugu yetu Naseeb Abdul alinunua Vito vyenye thamani ya milioni 48 ikawa bonge moja la story( hii pesa unajenga kabisa), ila akija akaona hii clip atahisi alinunua viazi au karanga maana watu wananunua mavitu hata hayajulikani kwa mabilioni na jamaa hana hata habari yaani..

Kuna baadhi ya watu wanasema hili Duka mpaka leo wanaionyesha hii clip ya namna MJ alivyofanya kufuru ya manunuzi [emoji1544]

https://youtu.be/HRnCX-8hA4A
But you must understand that when he died the only thing they found in his stomach was anti depression pills
 
Unakosea sana Chief. ..
Diamond will be the icon of bongo falva in the long run....
The only living true meaning of bongo flava superstar to date....
 
sijasikia hata mahalai akiomba discount walahi Maisha haya...
 
Inapendeza...

Kazi yake mola, haina makosa, atafanya atakacho atafanya apendalo kwani dunia ni yake...



Cc: mahondaw
 
Nilihisi master Jay hadi nilipofungua Link na kukutana na mtabe wa Pop duniani RIP Michael Jackson. Hii ndio maana halisi ya Flexin!
Spend it like nobodys business
 
Nilihisi master Jay hadi nilipofungua Link na kukutana na mtabe wa Pop duniani RIP Michael Jackson. Hii ndio maana halisi ya Flexin!
Spend it like nobodys business
Ha ha ha. Bongo dhiki tupu. Fikiria mtu ananunua Noah used ya 1999 anairusha insta na caption ' MY BRAND NEW CAR' mtu kafungua kibanda Cha mama ntilie nae anajiona super star. Ndo maana kila mtu anawaza siasa tu.
 
Kweli watu wanafaidi maisha
Maskini mie madenge mwana wa nyange.

Nipo kutwa na masufuria yangu natembeza
 
Yote hayo aliyapeleka wapi haka kajamaa ukute hata ladha ya k hakaijui [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila alikuwa anapendwa jamani
The most talented musician of all the time .

Nimetoka kusikiliza "You rock my world" Sasa hivi kabla sijafungua huu Uzi[emoji1]
 
Back
Top Bottom