Flash ikiwa inasoma katika PC yako ila ukiifungua hukuti Documents zako hapa kuna nini?

Utatuzi wake ni kuhamisha files zilizopo na kuacha kutumia hiyo flash maana kiwepesi na kibongobongo kurekebisha vitu kama hivyo ni ngumu maana mafundi wetu wa Computer wanachojua ni kuiscan flash yenye virus kwa Viji antivirus feki kama smardav na uchafu mwingine.

Humo kuna virus acha kutumia hiyo flash itupe nunua mpya, au peleka kwa wataalamu waifanyie recovery itakuwa sawa
 
Think tank la musoma ,Mara

Leo umejianika ujinga wako wew unajifanyaga mjuaji wa kila kitu unajihita feller na genious

Kitu kidg hvyo unaanzisha Uzi???
Hicho chuo si unakidhalilisha mkuu
Aibu naona Mimi kwa genius na feller huyu
Mbna sijawahi kumuona hata siku moja akichangia mambo ya TECHNOLOGY au masuala ya COMPUTER akijinasibu kuwa mbobezi
kuwa good sehemu fulani haimaanishi unajua kila kitu mkuu
Kila jambo lina UZOEFU wake

Haya mkuu mm pia nina shida hiyo
Tupe MUONGOZO mtaaram tunakusikiliza
 
Flash ina wadudu hiyo,
Kama una data muhimu jaribu ku show hidden folder & files, files na folders zitatokea zikiwa hudden, then zi copy pembeni halafu format flash hiyo uanze upya.

Hili hii case isijirudie, Fuatilia kuna sehemu ulitumia Computer yenye wadudu ndio wakaingia kwenye flasha yako so ukirudia kuitumia tena hiyo computer mambo yatakua yale yale.

Wajuzi wengine wataongezea.
 
Utatuzi wake ni kuhamisha files zilizopo na kuacha kutumia hiyo flash maana kiwepesi na kibongobongo kurekebisha vitu kama hivyo ni ngumu maana mafundi wetu wa Computer wanachojua ni kuiscan flash yenye virus kwa Viji antivirus feki kama smardav na uchafu mwingine.

Humo kuna virus acha kutumia hiyo flash itupe nunua mpya, au peleka kwa wataalamu waifanyie recovery itakuwa sawa
Haya ndiyo majibu ya Kitaalam niliyokuwa nayahitaji kwani Kuuliza siyo Ujinga au Upumbavu kama ambavyo Mbwa Koko Wengine wanavyodhani.

Asante sana Mkuu na nimekuelewa.

Cc: dr namugari
 
Mbna sijawahi kumuona hata siku moja akichangia mambo ya TECHNOLOGY au masuala ya COMPUTER akijinasibu kuwa mbobezi
kuwa good sehemu fulani haimaanishi unajua kila kitu mkuu
Kila jambo lina UZOEFU wake

Haya mkuu mm pia nina shida hiyo
Tupe MUONGOZO mtaaram tunakusikiliza
Genius kama Wewe ukipoteza muda wako na Mbwa Koko unaniangusha Mkuu.

Umemjibu Kiufasaha kabisa na angekuwa na Akili angejua kuwa hata Kuuliza Jambo la Uelewa ni sehemu ya Mtu kuwa Mwerevu na hakuna Genius ( Brainiac ) asiyejifunza.

Akiacha kuwa Mbwa Koko atabadilika.

Cc: dr namugari
 
Flash ina wadudu hiyo,
Kama una data muhimu jaribu ku show hidden folder & files, files na folders zitatokea zikiwa hudden, then zi copy pembeni halafu format flash hiyo uanze upya.

Hili hii case isijirudie, Fuatilia kuna sehemu ulitumia Computer yenye wadudu ndio wakaingia kwenye flasha yako so ukirudia kuitumia tena hiyo computer mambo yatakua yale yale.

Wajuzi wengine wataongezea.
Huwa napenda Watu ( Members ) Intelligent ( Werevu ) kama Wewe na siyo kama Mbwa Koko Mmoja katika post #2 ya Uzi huu.

Nimekuelewa Mkuu na Asante sana.

Cc: dr namugari
 
Flash ikiwa inasoma katika PC yako ila ukiifungua hukuti Documents zako hapa kuna nini?

Na je, utatuzi wake upoje Wakubwa?
Flash inaonekana ina matatizo na inaweza kuwa kati ya haya:

1) Imeshambuliwa na virusi.

2) Inakaribia kuharibika.(Muda wa matumizi unakaribia kuisha)

3)Mafaili yameharibika.

4)Drivers haziendani na flash
..........................n.k

Suluhisho:

1) Format flash kwa njia ya kawaida kisha tumia software za kurudisha mafaili yako. Hii ni njia nyepesi na ya haraka hasa kwa sisi vilaza wa IT.

2)Tumia mfumo wa kompyuta yako kutatua changamoto yako yaani cmd, hapa kuna hatua kadhaa za kufuata na ukilinganisha na akili zetu za KDP Word, kimasihara,afya ya akili, ukosefu wa hela n.k kuna ugumu kidogo!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ila nayo ni rahisi ukiamua!!!!!!!!!!!!

Nb: Nimetumia uzoefu wa mtaa na ni mtazamo wangu!!!!!!!
 
Asante kwa Msaada na Maelekezo yako.
 
Haya ndiyo majibu ya Kitaalam niliyokuwa nayahitaji kwani Kuuliza siyo Ujinga au Upumbavu kama ambavyo Mbwa Koko Wengine wanavyodhani.

Asante sana Mkuu na nimekuelewa.

Cc: dr namugari
1. Ingia kwenye flash drive yako. Angalia kwa juu kuna neno View kisha bonyeza kwenye hidden items. Ukiona bado files hazionekani.
2. Tumia data recovery software yoyote. Uhakika wa files zako kuziona kwa 100% na utaweza kuzirudisha na kuzitumia.
 
Back
Top Bottom