Flash ikiwa inasoma katika PC yako ila ukiifungua hukuti Documents zako hapa kuna nini?

Flash ikiwa inasoma katika PC yako ila ukiifungua hukuti Documents zako hapa kuna nini?

Huwa atakuwa hidden nimetoka ya virus so pana namna kadhaa ya kuyarudisha
Moja tafuta app instead USB show hii itakusaidia kusudiwa hidden files
Namna nyingine ni kuchap code kwenye prompt command
Waenda sehold window key +r then ntakuja run hapo watypr cmd kisha wa enter then ulitakuja black screen ya kuchek code aka command

Yakugawa kujua flash disk yako ikazima herufi gani
Then wa change directory na kulipa jina la hiyo flash disk yako
Then aachapa attrib au chek hapo
 
Flash inaonekana ina matatizo na inaweza kuwa kati ya haya:

1) Imeshambuliwa na virusi.

2) Inakaribia kuharibika.(Muda wa matumizi unakaribia kuisha)

3)Mafaili yameharibika.

4)Drivers haziendani na flash
..........................n.k

Suluhisho:

1) Format flash kwa njia ya kawaida kisha tumia software za kurudisha mafaili yako. Hii ni njia nyepesi na ya haraka hasa kwa sisi vilaza wa IT.

2)Tumia mfumo wa kompyuta yako kutatua changamoto yako yaani cmd, hapa kuna hatua kadhaa za kufuata na ukilinganisha na akili zetu za KDP Word, kimasihara,afya ya akili, ukosefu wa hela n.k kuna ugumu kidogo!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ila nayo ni rahisi ukiamua!!!!!!!!!!!!

Nb: Nimetumia uzoefu wa mtaa na ni mtazamo wangu!!!!!!!
Kwa kuongezea namba 1. Hasi-format flash drive, aache hivyo hivyo kisha afanye data recovery kwanza akishamaliza ndiyo a-format.
Kwasababu akiformat data zake zinaenda kuungana (ku-overwite na data zingine) na data zingine kwahiyo kuzirudisha uwezekano unakuwa mdogo. Atapata file ila siyo zote ila akifanya data recovery bila kui-format flash drive uhakika wa kupata data zake ni 99%.
Kumbuka asiweke file zozote kwenye file hiyo kabla hajafanya data recovery
 
Nakushukuru sana kwa kuniongezea kitu, huwa inanisumbua hii kitu.
 
Nakushukuru sana kwa kuniongezea kitu, huwa inanisumbua hii kitu.
Kingine kwenye flash drive au hard disk unayotaka kufanya data recovery usiweke file au program yoyote (usiongeze file yoyote kwenye kifaa chako) kabla ya kufanya data recovery.
 
Kwa kuongezea namba 1. Hasi-format flash drive, aache hivyo hivyo kisha afanye data recovery kwanza akishamaliza ndiyo a-format.
Kwasababu akiformat data zake zinaenda kuungana (ku-overwite na data zingine) na data zingine kwahiyo kuzirudisha uwezekano unakuwa mdogo. Atapata file ila siyo zote ila akifanya data recovery bila kui-format flash drive uhakika wa kupata data zake ni 99%.
Kumbuka asiweke file zozote kwenye file hiyo kabla hajafanya data recovery
Mkuu, nami naomba nifaidike na uzi huu wa mkuu wangu GENTAMYCINE .
Nami, nina memory card 16gb. Nimejaza nyimbo tu, 9gb. Inanishangaza, nikiiweka kwenye radio yoyote, inafanya kazi. Lakini, ikiwekwa kwenye kompyuta au kwenye simu, haisomi kabisa. Nilitaka kuiongezea nyimbo zingine, nimeshindwa. Naomba msaada, kama kuna ufumbuzi! Natanguliza shukraan, kwa yeyote atakaye nipa ufumbuzi!
 
we muda huu c ulisema upo kawe ukawaalika na wenzio wakajichukulie, kumbe umewachuza upo kwako unaangaika na flash yenye virus.
Format hiyo flash au km una doc. huma tafuta antvirus upadate install na scan, unaweza okoa baadhi ya files
😅😅😅😅😅
 
GENTA Kaanza kushusha akili za uzeeni busara sana anaomba msaada wa flash😅😅
 
Back
Top Bottom