Flash tools or Signed Firmware

kwa kubypass simu kalibia simu zote naweza sema labda kuamsha simu kama samsung ikiwa haiwaki hapo ndo nahitaji box lakini kama ni hangng logo ODDIN inasaidia sana kwa sasa nakuambia na hakuna kazi kabisa ikiwa una signed firmware utaona mambo ni simpo sana
 
Sawa, sisi ambao tunajua ngoja tukae pembeni tusubiri maoni ya wadau ambao ni wageni kwenye tanisia hii ya ufundi tutawasaidia kuwapa majibu.
 
Hujakutana na MDM LOCK ,[emoji23] STATE LOCKED
 
Sawa, sisi ambao tunajua ngoja tukae pembeni tusubiri maoni ya wadau ambao ni wageni kwenye tanisia hii ya ufundi tutawasaidia kuwapa majibu.
sawa mkuu ngoja tuwasubilie waje mkuu natumai kabisa kwa shida tutaweza kufix kama zote vile
 
remoty server hapa naomba hii idea inakuaje maana Nina idea ya frp lock kidogo

Sasa hivi bei ni juu mno, ukikutana na samsung yenye frp latest security utaimba pambio kama zote na kwa remoty server wanataka 15$

Sasa hivi bei ni juu mno, ukikutana na samsung yenye frp latest security utaimba pambio kama zote na kwa remoty server wanataka 15$
 
Kuna mtu anayo tecno ambayo wakat inawaka inaishia kwenye logo yakampuni, naweza iflash kwa kuweka firmware yake ? Kulingana na tatizo lilivyo na nitatumia flash tool ipi
 
Kuna mtu anayo tecno ambayo wakat inawaka inaishia kwenye logo yakampuni, naweza iflash kwa kuweka firmware yake ? Kulingana na tatizo lilivyo na nitatumia flash tool ipi

Tecno model number gani?
 
Techno w5 lite
tecno w5 lite zinaachana build number hivyo inafaa uangalie kwanza buil number kwenye recovery mode utaipata na itasaidia kuweka firmware yenye uhakika japo simu hizo hua zinashida kubwa sana maana EMMC yake imewekwa kwa mfumo flani hua inapata moto kuchemka hatimaye miguu iaanchana ya hapa kwa EMMC au CHIP basi hiyo simu hua ni changamoto kubwa mara nyingi kupona inafaa ubadilishe EMMC ama saketi nzima unaweza jalibu kui heet hiyo inaweza kusaidia lakini ikiwa unaona recovry mode utakuta ziko hivi

hapo utaangalia namba ili uweze kufananisha na firmware unayotaka kuchukua ikiwa unauhakika na build number ni rahisi sana kwenye hii site utaweza kuchagua firmware kudownload kisha kuiweka kwa kutumia sptool ama NCK na tool zingine

Tecno W5 lite | GEM-FLASH Firmware
 
miracle thunder unayo hiyo crack ya 3.5
 
Customer firmware upgrader ya Tecno c5 na samsung Tab4... please kama naweza kupata maujanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…