Flat Screen Computers for sale

Mponjoli

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
668
Reaction score
158
Used FLAT SCREEN computers for sale (From Hong Kong)

Brand: DELL

Hard Disk: 80GB

RAM: 512MB

Processor speed: 2.8Ghz

Monitor: Flat Screen 14 Inch

If you are interested, please contact me through +255 753 742205

Delivered anywhere in Tanzania
 
mkuu weka na bei basi. nina njaa nazo hizi mno
 
Hong Kong si ndio China?

Sina uhakika sana, ila cheki hiyo computer unayotumia hapo imetengenezwa wapi, I hope utapata jibu kama Hong Kong in China au la. Is this helpful?
 
Sina uhakika sana, ila cheki hiyo computer unayotumia hapo imetengenezwa wapi, I hope utapata jibu kama Hong Kong in China au la. Is this helpful?
Mbona unaanza kujitetea? mie natumia MAC bana..
 
Used FLAT SCREEN computers for sale (From Hong Kong)

Brand: DELL

Hard Disk: 80GB

RAM: 512MB

Processor speed: 2.8Ghz

Monitor: Flat Screen 14 Inch

If you are interested, please contact me through +255 753 742205

Delivered anywhere in Tanzania

shiling ngapi?
 
We usiwe kama chizi,me nimeficha nini? Nimesema from Hong Kong,so ulitaka niseme vipi? Unaonekana una jina la kiume lakini mambo yako tofauti kidogo. Acha kufuatilia biz ya watu.
Hong Kong ambayo ni China.

Nimeuliza Hong Kong ni China ? ukajibaraguza ati 'angalia kompyuta yako imetengenezwa wapi'..kompyuta yangu kutengenezwa wapi hakugeuzi ukweli kwamba unauza kompyuta za China.

Haya pasuka !
 
Sasa ishakuwa taafrani si biashara tena,ila mbona zote zinazouzwa madukani mpya zote nichina??huku silahisi kupata ya europe kwani huku kuna zone inayojulikana Asia middle east /africa ndo wana authorazation yakusambaza bidha za computer katika zoni hii!Sioni sababu ya kusakama kwa biashara yake huo niujinga naninawasiwasi JF imeingiliwa na teenagers!!! ila bei kasema kuna mtu kampigia na kasema 500,000/= na maongezi yapo!
 
Last time I checked authorized dealers wa bidhaa za DELL walikuwa na kaofisi kao ka kizushi karibu na British Council..na hawakupi warrant kwa kununua kutoka kwa unauthorized dealers. Wacha kudandia gari kwa mbele.
 
Hivi kwa nn wabongo wanapo uza kitu huwa wanaona aibu kuweka bei wazi mtu anajipima mwenyewe?
 
Hivi kwa nn wabongo wanapo uza kitu huwa wanaona aibu kuweka bei wazi mtu anajipima mwenyewe?

Fidel80

Hiyo ni strategy si bongo tu, duniani kote. Kuna namna mbili za bei, fixed na floating. Ukiweka bei kwenye bidhaa (price tag) inamaanisha ni fixed price. Ukiacha wazi maana yake ni floating price (yaani unaacha room ya negotiation). Hope umenielewa mkuu.
 

Kiiza

It shows you are matured and educated. Huyu jamaa me sijajua nia yake ni nini. Kama ni kuzalishwa nimesema ni Hong Kong. Ningekuwa nataka kuficha, ningebaki silent. Kuna watu hawana kazi,wanatafuta "ligi" mtandaoni halafu baadae akale kwa mama basi siku imeisha.

I am in for business and not otherwise.
 
kwa bei ya laki tano mkuu mponjoli kwa desktop-used computer NAHISI KAMA UNAWAKANDAMIZA watanzania walokwisha choshwa na ugumu wa maisha kuanzia bei ya petrol mpaka unga na sukari...kwanini usiuze laki2 tu mkuu...si umeshasema used?...maana hiyo laki tano nikiongezea laki 2 napata laptop yangu mpyaa ya usd 300-500.... NAOMBA IKIWEZEKANA KANUSHA HARAKA SANA KUWA HUUZI USED DESKTOP COMPUTERS KWA TSHS LAKI TANO
 

Who cares

Nashukuru kwa maoni yako (ambayo ni hako yako kimsingi). Lakini biashara huria hii. Kila mtu anajua alikoutoa mzigo wake, so bei haziwezi kuwa sawa. Naomba nikupe changamoto. Kama kuna mahali unaweza kupata computer ya specs hizi kwa 200,000, please hata pc 100 nitanunua leo leo.

Siuzi kuwagandamiza watanzania. Bidhaa sasa hivi bei zimekwenda juu. Yeyote anayeimport bidhaa anaweza kukuambia. Bei zangui naona ni znuri tu, maana kuna watu wamenunua mzigo kwangu tayari na wanaendelea.

JF inafika mbali sana, maana nimepokea simu kutoka kwa jamaa kuanzia Dar hadi Sumbawanga tayari tumefanya na wengine tayari tumefanya biashara,wengine tunaendelea na wengine inabidi niwaagizie zingine.
 


wakuu nina nyumba natafuta mpangaji, ipo chango'mbe bora 5 rooms,big sitting room ,2 bath rooms ,2 asian toilet rooms,one self contain room ,veranda and big parking space. -shs.500,000/= pm mazungumzo yapo.
 
Mi nataka tano kwa 300K @ unasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…