Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unaanza kujitetea? mie natumia MAC bana..Sina uhakika sana, ila cheki hiyo computer unayotumia hapo imetengenezwa wapi, I hope utapata jibu kama Hong Kong in China au la. Is this helpful?
mkuu weka na bei basi. nina njaa nazo hizi mno
Used FLAT SCREEN computers for sale (From Hong Kong)
Brand: DELL
Hard Disk: 80GB
RAM: 512MB
Processor speed: 2.8Ghz
Monitor: Flat Screen 14 Inch
If you are interested, please contact me through +255 753 742205
Delivered anywhere in Tanzania
Hong Kong ambayo ni China.We usiwe kama chizi,me nimeficha nini? Nimesema from Hong Kong,so ulitaka niseme vipi? Unaonekana una jina la kiume lakini mambo yako tofauti kidogo. Acha kufuatilia biz ya watu.
Last time I checked authorized dealers wa bidhaa za DELL walikuwa na kaofisi kao ka kizushi karibu na British Council..na hawakupi warrant kwa kununua kutoka kwa unauthorized dealers. Wacha kudandia gari kwa mbele.Sasa ishakuwa taafrani si biashara tena,ila mbona zote zinazouzwa madukani mpya zote nichina??huku silahisi kupata ya europe kwani huku kuna zone inayojulikana Asia middle east /africa ndo wana authorazation yakusambaza bidha za computer katika zoni hii!Sioni sababu ya kusakama kwa biashara yake huo niujinga naninawasiwasi JF imeingiliwa na teenagers!!! ila bei kasema kuna mtu kampigia na kasema 500,000/= na maongezi yapo!
Hivi kwa nn wabongo wanapo uza kitu huwa wanaona aibu kuweka bei wazi mtu anajipima mwenyewe?
Sasa ishakuwa taafrani si biashara tena,ila mbona zote zinazouzwa madukani mpya zote nichina??huku silahisi kupata ya europe kwani huku kuna zone inayojulikana Asia middle east /africa ndo wana authorazation yakusambaza bidha za computer katika zoni hii!Sioni sababu ya kusakama kwa biashara yake huo niujinga naninawasiwasi JF imeingiliwa na teenagers!!! ila bei kasema kuna mtu kampigia na kasema 500,000/= na maongezi yapo!
kwa bei ya laki tano mkuu mponjoli kwa desktop-used computer NAHISI KAMA UNAWAKANDAMIZA watanzania walokwisha choshwa na ugumu wa maisha kuanzia bei ya petrol mpaka unga na sukari...kwanini usiuze laki2 tu mkuu...si umeshasema used?...maana hiyo laki tano nikiongezea laki 2 napata laptop yangu mpyaa ya usd 300-500.... NAOMBA IKIWEZEKANA KANUSHA HARAKA SANA KUWA HUUZI USED DESKTOP COMPUTERS KWA TSHS LAKI TANO
fidel80
hiyo ni strategy si bongo tu, duniani kote. Kuna namna mbili za bei, fixed na floating. Ukiweka bei kwenye bidhaa (price tag) inamaanisha ni fixed price. Ukiacha wazi maana yake ni floating price (yaani unaacha room ya negotiation). Hope umenielewa mkuu.
shakinkumbi@hotmail.comwakuu nina nyumba natafuta mpangaji, ipo chango'mbe bora 5 rooms,big sitting room ,2 bath rooms ,2 asian toilet rooms,one self contain room ,veranda and big parking space. -shs.500,000/= pm mazungumzo yapo.
Mi nataka tano kwa 300K @ unasemaje?Fidel80
Hiyo ni strategy si bongo tu, duniani kote. Kuna namna mbili za bei, fixed na floating. Ukiweka bei kwenye bidhaa (price tag) inamaanisha ni fixed price. Ukiacha wazi maana yake ni floating price (yaani unaacha room ya negotiation). Hope umenielewa mkuu.
Mbona unaanza kujitetea? mie natumia MAC bana..