Mistari hyo inasababishwa na Tv kupata misukosuko mathalan kama unaiweka juu ya tv case inamaana kuna uwezekano umepiga kwa bahat mbaya ama watoto huwa wanaichezea! Hzi tv haziitaj kurupishan ndio maana wanashauri tuzifunge ukutan na sehem ambayo huwez kuigusa kwa bahat mbaya!
Kuhusu solution ya huo mstari! Hapo ukisema uipeleke kwa fundi watakula pesa yako bure cha msingi iweke sehem ya usalama ili mistar usiongezeke