Flat TV kutoa mistari ya rangi

Flat TV kutoa mistari ya rangi

KIBINDU

Senior Member
Joined
Jul 2, 2015
Posts
175
Reaction score
355
Nini chanzo cha tatizo flat tv kudisplay mistari ya rangi ya horizontal!

Nini kifanyike ili kuiondoa?

Naomba ufafanuzi tafadhali!
 
Flat screen TVs zikianza kuweka mistari au ukungu ukungu ujue zimefikia mwisho wa matumizi yake, gharama za ukarabati wake ni karibu sawa na kununua TV mpya. Jiandae kununua nyingine kwa hakika.
 
Mie kuna Toshiba smart tv ilileta mstari mwembamba katikati baada ya kufanyiwa firmware update. Hata sijajua sababu ni nini hadi sasa.
 
Mistari hyo inasababishwa na Tv kupata misukosuko mathalan kama unaiweka juu ya tv case inamaana kuna uwezekano umepiga kwa bahat mbaya ama watoto huwa wanaichezea! Hzi tv haziitaj kurupishan ndio maana wanashauri tuzifunge ukutan na sehem ambayo huwez kuigusa kwa bahat mbaya!

Kuhusu solution ya huo mstari! Hapo ukisema uipeleke kwa fundi watakula pesa yako bure cha msingi iweke sehem ya usalama ili mistar usiongezeke
 
Hizi rangi zimesababishwa na nini wadau.

17284526915461471963350.jpg
 
Back
Top Bottom