wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Nampa pongezi zangu huyo aliepiga hiyo picha akiwa hewani hivyoMbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay akiruka sarakasi kwa furaha baada ya kukabidhiwa gari kwa ajili ya kupambana na ujangili na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigangwalla.
Waziri ametoa magari kwa Halmashauri sita
Chanzo: Mwananchi
View attachment 774989