Flatei Massay Mbunge wa Mbulu Vijijini aruka sarakasi kwa furaha baada ya kukabidhiwa gari na Waziri

hawa ukoo wa Dr Slaa huwezi kuwatabiri! kuna waziri mkuu anahama chama, Padre anaoa halafu anaacha, anahamia chama halafu anahama.huyu wa sarakasi naye hatabiriki
 


Hivi Massay huyu si ndo yule aliyekamatwa mwezi wa February akijichua chooni wakati yuko kazini au kuna mwingine huko Mbulu Vijijini?
 
Kumkabidhi mbunge gari sioni kama in sahihi, hapo alitakiwa akabidhiwe Mkurugenzi au wao wenyewe maliasili wapeleke gari na askari wakajitambulishe kwa DC
 
Huyu Mh. Mbunge yuko FIT sana, katukosha kwa kweli, ila tusishangae, maana yajulikana kwa michezo hajambo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…