Flatei Massay Mbunge wa Mbulu Vijijini aruka sarakasi kwa furaha baada ya kukabidhiwa gari na Waziri

Wananchi wanachukuliaje kitendo cha mb wa Mbulu vijijini,kuruka sarakasi baada ya kukabidhiwa gari na waziri wa Mali asili na utalii kwa ajili ya kupambana na majangili
 
Hapo angepiga kichwa chini tungewajibika kumpeleka India,anajifanya kuruka shufwa wakati umri unaenda
 
Yuko fit.....enzi zangu Nlikuwa naruka sarakasi ila sahv dah siwezi tena

OvA
 
Yule wa push ups hewa afanye hivyo Jangwani wakati wa uzinduzi wa kampeni zijazo kama tezi dume hatujaiokotea Ununio.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kwa hivyo umezeeka mkuu
Mazoezi tu Sina muda sana.....ila kwa wananijua wanatambua sarakasi nlizo kuwa naruka.......sahv Naweza style mbili tu kavu na kisamaki......tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…