Flatei Massay Mbunge wa Mbulu Vijijini aruka sarakasi kwa furaha baada ya kukabidhiwa gari na Waziri

Ameumia? Mbona anapocheza mpira hushangai?
 
Mbunge wa Mbulu Vijijini , Flatei Massay akiruka sarakasi baada ya kukabidhiwa Landcruiser sita kwa ajili ya kupambana na Uhalifu- ujangili.
 

Attachments

  • 6E9FC6E7-8160-4C4F-9C85-83C666820EF5.png
    155.9 KB · Views: 39
  • 1EA4DE2E-5EA2-4339-9518-3C7AF6BCA4A8.png
    147.1 KB · Views: 39
  • 66C17CFD-564C-462B-B8DD-F46A99F09A3A.png
    135 KB · Views: 38
  • B367258F-E753-401C-82DB-4F15BCC240ED.png
    137.6 KB · Views: 40
Inaweza kuwa ni picha bora kwa mwaka huu, ongera kwa mpiga picha aliyepiga picha hii.

(Pichani Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay akiruka sarakasi alipokuwa akifurahia kukabidhiwa gari na waziri Maliasili na Utalii Dk Hamis Kigwangalla kwa ajili ya kupambana na vita dhidi ya ujangili)

 
baada ya kupewa gari. Wakati awamu ile kulikua na magari yanakataliwa na wakuu wa mikoa eti ni machakavu wakati yametumika miezi kadhaa tu hahah maisha yanabadilika
 
baada ya kupewa gari. Wakati awamu ile kulikua na magari yanakataliwa na wakuu wa mikoa eti ni machakavu wakati yametumika miezi kadhaa tu hahah maisha yanabadilika
Mkuu landcruised mpya hiyo upewe udengue,usawa huu.

Anajua kwanini kafurahi namna hiyo.
 
Kuna video zipo whatsapp ameruka hizo sarakasi mara 3 kama kijana wa miaka 18.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…