Flaviana: "Black men are sexy"


Mkuu hata mkeo ukiyajua anayowaza unaweza kumkimbia ,wanawake ni ile tu haiba ya chini kwa chini lakini wana matamanio makubwa sana sema ni ile stara tu ndio inawaminya.

Kuna uzi humu uliandikwa kwamba wanawake wanapenda big cock na kunyanduliwa ila wanajifanya kama hawataki ila wanapenda balaa....ukipata muda pitia mijadala yao hello tanzania ndio utajua haujui.
 
ngono tena
 
Mkuu neno Vawulensi(Violence) naliona Twitter sana ,hivi nani aliyelianzisha?
Wakenya. Wao ndio wako kwenye hii mixing ya kiingereza chao na kiswahili. Wale watu wako na sense of humor sana. Tena kwenye mitandao wanatushambulia sana wabongo lakini usichulie serious. Sijui wanapata wapi muda wa kuwa kwenye internet saa zote. They're so fnk funny
 
Labda Flavi alikuwa anamaanisha Wasenegal au Wagambia. Wakitajwa wanaume weusi Wabongo inabidi tutulie tu. Yaani kuna nchi ukifika hakuna haja ya kujieleza, wanakuona kabisa wewe sio wa hapa. Sema tofauti nyingine wenzetu ni warefu kuliko sisi. Kwamfano ukitaka watu wasimletee mazereu demu wako Bongo, chukua kifaa kirefu. Wabongo wote ni wafupi Yaani huyo atakuwa demu wako peke yako
 
HAPA UMEMALIZA KILA KITU. WANAWAKE WANAPENDA SANA WATOTO WEUPE. SANA SIYO KIDOGO. NA WANAUPENDA SANA WEUPE. SASA WANAONA MWANAUME AKIWA MWEUPE ANAMFUNIKA YEYE KAMA NI MWEUSI.
 
Asilimia kubwa ya wanawake hupenda wanaume weusi!
Halafu wanataka wapate watoto weupe.....πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni mimi ambaye sijamuelewa ama,,? Anaposema black men anamaanisha mwafrika bila kujali ni light skin brown) au weusi wa mpingo as long as ni mwafrika na si white man (mzungu)
Upo sahihi kiongozi alimaanisha black men na sio dark skin men

Baada ya kuona wabongo uelewa wao ni mdogo ndo akatuma post nyingine kufafanua kama ulivyosema
 
Uwe mweupe au mweusi we ni black tu
 
Amesema kweli
Ila hata wazungu wazuri na waarabu weee
 
Na sisi wafupi na weupe lakini tuna pesa sio sexy ?
 
Hata kuna wabongo hawaogi
Hawaogi kwasababu maji tabu. Kwa hilo nawalaumu watu wa wizara ya maji tu. Wazungu hawaogi kwasababu wanasema maji kila siku sio nzuri kwa ngozi. Eew, good luck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…