Flaviana Matata alalamikia ulozi kwenye biashara yake

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Mwanamitindo Flaviana matata amelalamika kuna watu wameanza kuwangia biashara yake ya rangi za kucha. Maneno hayo kayatoa kupitia mtandao wa twitter
 
Imani juu/za Kishirikina ni kipimo cha Mtu kutokwenda Shule ama kukosa Imani katika Mafundisho ya Dini yake...!!

Kuna faida gani yeye (Flavian) kutembelea ama kuishi USA vipindi kadhaa...!!

Aboreshe biashara zake tu kwa kuongeza ubunifu, aache kuendekeza mambo ya Kiswahili...
 
Co mara ya kwanza ili kwa uyu bidada.... eti wanashinda na K.......
 
Magufuli noma!
Mashetani hao kimaisha kama alivyoahidi wakampigia makofi.
 
Nafikiri hao wachawi watakuwa wametumwa na Mange.
 
Duh uchawi tena [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…