Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Sio aliye mzaa..Mama yake alishafariki jamani.RIP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio aliye mzaa..Mama yake alishafariki jamani.RIP
Yaani huyu nae anaamini haya mambo na exposure alokuanayo.Mwanamitindo Flaviana matata amelalamika kuna watu wameanza kuwangia biashara yake ya rangi za kucha. Maneno hayo kayatoa kupitia mtandao wa twitter
View attachment 622437
Okay..Sio aliye mzaa..
Ameshau watu wanabandika artificial nails hawajitaji rangi siku hizi.so soko lazima lishuke.Huyu naye exposure yote bado anaamini uchawi kama watandale
Bidada kama huko humu acha kuwa na Imani haba muamini Mungu maana hakuna uchawi wala uganga unaweza kumshinda acha akili za Kiswahili kuamini ushirikina nani aroge marangi ya kucha
huko maofisini kwa wasomi ndo kuna ndumba za bei kaliImani juu/za Kishirikina ni kipimo cha Mtu kutokwenda Shule ama kukosa Imani katika Mafundisho ya Dini yake...!!
Kuna faida gani yeye (Flavian) kutembelea ama kuishi USA vipindi kadhaa...!!
Aboreshe biashara zake tu kwa kuongeza ubunifu, aache kuendekeza mambo ya Kiswahili...
i don't know where you get these words, but hell yeah you nailed it!!..In the jungle all protocols are observed! Maintain ur star
Yaani huyu nae anaamini haya mambo na exposure alokuanayo.
[emoji15] [emoji15] kumbe ndoa ilishakufa mkuu? Au nayo ilirogwa labda[emoji23] [emoji23]ndoa
ndoa yako kwanza kwanini ilikufa haraka vileee yaani imevunja rekodi ya dunia
Itakuwa ni wale watu ambao wanajua kusoma lakini huwa hawaelewi walichokisoma.Amepinga mambo ya uchawi na sio kuamini! Mbona baadhi ya watu humu ni wavivu wa kusoma sentensi na kuelewa?!
Flavy nae anaimani tu za shirki ye anadai kwamba walimkamata mtu anafanya uganga, baada ya kumhoji uyo mtu akadai katumwa na rafiki yao wa karibu
Kwanini walimuamini kirahisi uyo Mtu labda aliongea tu ili awachonganishe?walipata ushaidi gani kama kweli katumwa na shoga yao?
Flavy nae ana imani potofu
Mbona kama yeye ndo anashangaa watu ktk zama na karne hii wana amini ktk 'uchawi' ili kufanikiwa ktk biashara
Watu tunamshambulia kama ni yeye kafanya wakati yeye anamshangaa huyo alioenda kufanya 'ulozi ' ktk biashara yake
ufahamu bado unafundishwa shuleni, kuanzia primary hadi secondary....Itakuwa ni wale watu ambao wanajua kusoma lakini huwa hawaelewi walichokisoma.
Kusoma na kushindwa kuelewa ulichokisoma ni janga la kitaifa!!
Nakumbuka wakati nipo shule ya msingi kwenye masomo ya Kiswahili na Kiingereza kulikiwa na kipengele cha kusoma insha halafu unajibu maswali kuhusu ulichokisoma.
Lengo lilikuwa ni kupima uelewaji wa wanafunzi.
Sina uhakika kama bado wanafanya hivyo huko mashuleni!
Alipokulia ndio shida imani za kishirikina zimeshika kasi sishangai yeye kusema hivyo ... watu wanaamini sana uchawi. Shule ya msingi aliyosoma yenyewe iko njia panda nazi zinavunjwa dailyImani juu/za Kishirikina ni kipimo cha Mtu kutokwenda Shule ama kukosa Imani katika Mafundisho ya Dini yake...!!
Kuna faida gani yeye (Flavian) kutembelea ama kuishi USA vipindi kadhaa...!!
Aboreshe biashara zake tu kwa kuongeza ubunifu, aache kuendekeza mambo ya Kiswahili...