Flaviana Matata alalamikia ulozi kwenye biashara yake

Huyu naye exposure yote bado anaamini uchawi kama watandale
Bidada kama huko humu acha kuwa na Imani haba muamini Mungu maana hakuna uchawi wala uganga unaweza kumshinda acha akili za Kiswahili kuamini ushirikina nani aroge marangi ya kucha
Ameshau watu wanabandika artificial nails hawajitaji rangi siku hizi.so soko lazima lishuke.
 
huko maofisini kwa wasomi ndo kuna ndumba za bei kali
 
LAKINI FLAVI KAONGEA KUKEMEA SIO KUSAPOTI IVO VITENDO LAKIN SISI WABONGO TUNAHASHKI YA KUMWONA MTU MWENYE DIRA ZAKE BINAFSI SIO MWENZETU
 
Yaani huyu nae anaamini haya mambo na exposure alokuanayo.

Mbona hapo ni kama kalaani watu wanaoamini hayo mambo na si kwamba yeye ndo anayoyaamini....?

Ni wapi alipoonyesha kuwa anayaamini?
 
Amepinga mambo ya uchawi na sio kuamini! Mbona baadhi ya watu humu ni wavivu wa kusoma sentensi na kuelewa?!
Itakuwa ni wale watu ambao wanajua kusoma lakini huwa hawaelewi walichokisoma.

Kusoma na kushindwa kuelewa ulichokisoma ni janga la kitaifa!!

Nakumbuka wakati nipo shule ya msingi kwenye masomo ya Kiswahili na Kiingereza kulikiwa na kipengele cha kusoma insha halafu unajibu maswali kuhusu ulichokisoma.

Lengo lilikuwa ni kupima uelewaji wa wanafunzi.

Sina uhakika kama bado wanafanya hivyo huko mashuleni!
 
Flavy nae anaimani tu za shirki ye anadai kwamba walimkamata mtu anafanya uganga, baada ya kumhoji uyo mtu akadai katumwa na rafiki yao wa karibu
Kwanini walimuamini kirahisi uyo Mtu labda aliongea tu ili awachonganishe?walipata ushaidi gani kama kweli katumwa na shoga yao?
Flavy nae ana imani potofu
 
Na kupost kwenye social media bado watu wanasema anakemea. Hii ni inaitwa reinforcement
 
Hivi mbona shilawadu hawasemi kuhisu huyu kutozaa? Ama wanamuona wema tu ambaye hata hajaolewa
 
Mbona kama yeye ndo anashangaa watu ktk zama na karne hii wana amini ktk 'uchawi' ili kufanikiwa ktk biashara

Watu tunamshambulia kama ni yeye kafanya wakati yeye anamshangaa huyo alioenda kufanya 'ulozi ' ktk biashara yake

Anyway ktk biashara au mafanikio yoyote 'mchawi' mkubwa ni 'mind' zetu tu ukiweza ku ' tune ' ktk 'positive energy' binaadam ana umba vitu vingi anavyo vitaka ktk maisha yake na pia kuwa hasi kuna vutia mambo mengi mabaya ktk maisha yetu
 
Mbona kama yeye ndo anashangaa watu ktk zama na karne hii wana amini ktk 'uchawi' ili kufanikiwa ktk biashara

Watu tunamshambulia kama ni yeye kafanya wakati yeye anamshangaa huyo alioenda kufanya 'ulozi ' ktk biashara yake


Nashangaa sana wanaosema yeye, kwa mujibu wa kilichoandikwa, kuwa eti anaunga mkono!

Ni dhahiri kabisa kuwa anashangaa kuna watu bado wanaamini na kuyafanya hayo mambo. Huko siyo kuunga mkono hata kidogo.

Hahaaa daaah...watu tumetofautiana sana uwezo wa kuelewa mambo!
 
ufahamu bado unafundishwa shuleni, kuanzia primary hadi secondary....
 
Alipokulia ndio shida imani za kishirikina zimeshika kasi sishangai yeye kusema hivyo ... watu wanaamini sana uchawi. Shule ya msingi aliyosoma yenyewe iko njia panda nazi zinavunjwa daily
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…