Flaviana Matata amjia juu anayedai kumfikisha alipo

catfight ya mapaka pori i guess......

Mapaka pori yana afadhali!....hii catfight ya watu wenye akili timamu ila wanaoneana wivu!....hawajui kama kwenye haya mambo ya ulimbwende ukifika certain age umekwisha!....
 
tel him,
tena mungu kasema tupeane tusinyimane...
msomee bible huyu.......

Yeah itabidi nimsomee mistayri ya moyo inaelekea hajaenda hata sunday school!..God amesema tupendane siyo tusinyimane bana....
 
na tukishapendana..
si ndo hakuna kunyimana???
nimeona hiyo kwenye bible....
 
miriam ni mtu wa musoma.
mkurya i guess....
why????

natafuta hiyo scripture,ntakutajia.

Haya endelea kutafuta hiyo scripture nasubiliwa....

Kumbe ni Mkurya?....i thought msukuma maana kila model msukuma/Mnyamwezi....i dunno why!...umeshagundua lakini?....
 
Haya endelea kutafuta hiyo scripture nasubiliwa....

Kumbe ni Mkurya?....i thought msukuma maana kila model msukuma/Mnyamwezi....i dunno why!...umeshagundua lakini?....

sijawahi chunguza...
mimi mnyamwezi but sijui why???
may be mvuto ndo zaidi??????
 
sijawahi chunguza...
mimi mnyamwezi but sijui why???
may be mvuto ndo zaidi??????

Whaaat?...Kumbe na wewe msukuma?...Basi kwaheri maana nina bahati mbaya sana kila nayemgusa msukuma ooh love why me na wasukuma jamani eeh!....For the record wasukuma hawana mvuto basi jipe moyo.....Ni wamechoka mbaya
 
ha ha ha ha,how old are u??????
 
Yaani kusema love is in the air ndio gubu? Binti Maringo una mambo wewe...

Haya ngoja nitafute wangu na mimi...

Hallo!...yeah Opp...tafuta na wewe wako akusuuze moyo...naona unatuonea gere hapa....Ila nimesha change mind yangu The Boss msukuma.....
 
Whaaat?...Kumbe na wewe msukuma?...Basi kwaheri maana nina bahati mbaya sana kila nayemgusa msukuma ooh love why me na wasukuma jamani eeh!....For the record wasukuma hawana mvuto basi jipe moyo.....Ni wamechoka mbaya
wasukuma wako
walizaliwa wapi?
hivi obama ni mjaluo?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…