Flaviana Matata amjia juu anayedai kumfikisha alipo

Hallo!...yeah Opp...tafuta na wewe wako akusuuze moyo...naona unatuonea gere hapa....Ila nimesha change mind yangu The Boss msukuma.....


mimi ni mnyamwezi kwa baba.
kwa mama ni muemba,
halafu nimezaliwa dar,
ukiwa na akili za kitoto utapoteza bahati hivi hivi......

obama ni mjaluo au mmarekani?????
 
wasukuma wako
walizaliwa wapi?
hivi obama ni mjaluo?????


Wasukuma that i know majority wamezaliwa na kukuliwa huko huko Biharamulo na nyegezi.....
Mu-emba ndiyo kabila la wapi?...usijifanye sasa na ww ni mtutsi?


Obama ni Mjaluo wa kenya kwa baba na Mmarekani kwa mama and by birth acha sasa kuomba undugu wa nguvu na wewe ol!....
 


mimi nimezaliwa ocean road........
kwa hiyo u can tell the difference.
 
mimi nimezaliwa ocean road........
kwa hiyo u can tell the difference.


Sasa Kuzaliwa Ocean Rad ndiyo nini mbona mimi nimezaliwa kwenye hospitali ya rufaa kule nachingwea?....Na hatuna tofauti mimi na wewe>?
 
Sasa Kuzaliwa Ocean Rad ndiyo nini mbona mimi nimezaliwa kwenye hospitali ya rufaa kule nachingwea?....Na hatuna tofauti mimi na wewe>?

you keep missing the point.......
msukuma aliezaliwa daresalaam na
msukuma aliezaliwa mwanza hawawezi kufanana...
i mean kuzaliwa na kukulia eneo fulani......

mfano obama angezaliwa na kukulia kenya
asingekuwa obama huyu tunaemuona....

wasukuma uliokutana wapo kama
walivyo kutokana na maeneo waliokulia...
 


ni kweli kaka.something is better than nothing.
 
Du! kazi zingine hizi Mungu apishie mbali. kwa hiyo kazi ya dada yetu huko ughaibuni ni kuvaa hivyo viguo.? kweli kiama kimekaribia
 
Du! kazi zingine hizi Mungu apishie mbali. kwa hiyo kazi ya dada yetu huko ughaibuni ni kuvaa hivyo viguo.? kweli kiama kimekaribia
mi nakumbuka mwanzo Flafiana alichaguliwa kuwa miss University. ni kweli alikuwa mwanafunzi pale udsm lakini sina uhakika na kuhitimu kwake.
 
mnhhh..mie sijui hata niwe upande gani..."every story got two sides....this is flaviana,s....sijui kuna mtu hapa jamvini amesikia au kusoma story ya huyo mtuhumiwa wa kuuza sura ili tuweze kutoa maamuzi sahihi....ila nachoamini pia...sio kila wema mtu unaoutenda unahitaji kulipwa shukrani na uliyemtendea....ni suala la aliyetendewa wema ku-uvalue huo wema ulioutenda ndio aamue kukulipa shukrani (appreciation/recognition)......

hapa ishu inakuwa nzito pale mtu anapotenda wema na kuamini ni haki ya kutambuliwa katika success story ya aliyemtendea huo wema no matter how small mtendwa ( flaviana ) anavyouona....pagumu hapoooo..kila mtu anaamini anayo haki ya kutambuliwa...ni maoni tuu
 
binti maringoooooo.....Have a baby by me babe and be a millionare.... Hapa naona unatutaka mi-dume shughuli...hebu tafakari ..chukua hatua....kisha uje kivingine....ni maoni tuuu
 
binti maringoooooo.....Have a baby by me babe and be a millionare.... Hapa naona unatutaka mi-dume shughuli...hebu tafakari ..chukua hatua....kisha uje kivingine....ni maoni tuuu

watu mna mambo na vijimambo
 

Kama hii ndio source ya Flaviana ku-react, basi nafikiri lugha gongana ime-take place, article haikueleweka kabisaaaa.....
 

Ndiyo maana wanasema "Tenda wema uende zako usingoje shukurani"....Ila sisi waswahili wakati mwingine tunamtendea mtu wema then tunasubiria shukurani na pia kuabudiwa kuwa huyu mtu alinisaidia so i ave too wakati mwingine vitu vinakuwa vice versa....
 


Ni kweli hiyo avatar! hata mimi hoooooooiiiii
 
Hiyo degree ya Engineering atakuwa amechukua Zoom Polytechnic sio CoET-UDSM niliyosoma mimi.
 

Kasoma UDSM? Acha uchuro wewe..kihiyo aliyefeli kidato cha nne anasomahe UDSM sasa?..mamiss waliosoma pale ni kina angela damas..irene kiwia na huyo kidot..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…