Flaviana Matata amjia juu anayedai kumfikisha alipo

Wabongo tuna tatizo kubwa LA appreciation, tukishafanikiwa huwa atujiulizi kwa sababu gani tumepata hayo mafanikio. Badala yake tunaona tunastahili kupata hayo mafanikio, ni kipaji, ni ujanja. Hivi ni wangapi warembo na wenye mvuto wako mitaani?
 
Duhh kama mamnge amehusika kwny huu ugomvi kaeni pembeni dada anachamba balaa
 
Wabongo ndio walivyo, hata wakikutuma ukawawashie sigara ukikua utasikia wanadai wamekulea.
 
Kasoma UDSM? Acha uchuro wewe..kihiyo aliyefeli kidato cha nne anasomahe UDSM sasa?..mamiss waliosoma pale ni kina angela damas..irene kiwia na huyo kidot..
umemsahau wema sepetu, nasikia ana P.HD ya UDSM
 
Kaka yangu ni Electrical Engineer from UD amezaliwa 1987 aligraduate since 2011 labda sijui system ya wapi unaongelea
 
Flavi, kwani mtu akisema kachangia kukufikisha hapo unapungukiwa nini? Kama mashabiki unao,mikataba unayo! shida iko wapi? Mi naona unasahau ulipotoka kwani mwl wako wa msingi akisema kakufikisha hapo ulipo utakataa? Hakuna mtu anayeweza kupiga hatua ktk maisha bila jamii inayomzunguka kuhusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…