Flaviana Matata na Russell Simmons bega kwa bega tena

Flaviana Matata na Russell Simmons bega kwa bega tena

GadoTz

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
370
Reaction score
636
Mwanamitindo maarufu wa Tanzania Flaviana Matata alikuwa bega kwa bega na mwekezaji na nguli wa hiphop Russell Simmons katika utambulisho rasmi na kuchangia Flaviana Matata Foundation 'FMF'.
tumblr_ngdxj7AcPp1swsaplo1_1280.jpg

Hayo yalifanyika nchini Marekani katika hafla iliyoudhuliwa na wanamitindo na watu mbalimbali maarufu iliyofanyika kwenye mgahawa wa Beautique, jijini Newyork.

Source:http://www.tznext.com/2014/12/flaviana-matata-na-russell-simmons-bega.html

Hii habari inanikumbusha miaka ya nyuma kidogo, magazeti ya udaku ya Shigongo yaliandika eti Flaviana Matata anatoka na mzungu Russell Simon. Baada ya kujikanyaga siku ya pili wakarudia eti anatoka na raper Russell Simmons. Ndio nikajua wale ni waandishi magumashi tu, wakisikia story hata kwenye kijiwe cha wavuta bangi wanakimbilia kuandika tu maandishi mekundu na kijani makuubwa.
 
Mimi binafsi nampa big up Flavi sababu kuwa karibu na Russell sio kitu kidogo ni kuwa karibu na mafanikio na hii foundation yake itafika mbali navyoona. Anafanya vizuri sana huyu dada.
 
Na ni mmiliki wa lebel na clothesline ya FAT PHARM ..(Russell Simon's)
 
Ukoo wa Simmons ni wa kisanaa sana ukianza na Danny Simmons,Jose Simmons(RUN-D-MC) na Diggy Simmons! Russels wa Def Jam yupo safi sana!!
 
Huyo jamaa nilimkubali sana tokea enzi za Def Jam,,,alichoniboa ni msimamo wake wa kuunga mkono ndoa za jinsia moja
 
Huyo jamaa nilimkubali sana tokea enzi za Def Jam,,,alichoniboa ni msimamo wake wa kuunga mkono ndoa za jinsia moja

Kumbe hata wabudha wanaishabikia...
Huyu si ndo kazaa na kimora lee
 
Huyo jamaa nilimkubali sana tokea enzi za Def Jam,,,alichoniboa ni msimamo wake wa kuunga mkono ndoa za jinsia moja

Man western countries wako na mawazo tofauti na Afrika kuhusu swala la mashoga, ni sawa na wewe leo ukienda Marekani na maneno yako hayo watu watakushangaa sana.
Halafu ukae ukijua Russell ni business man, kwa hiyo lazima atumie akili kabla ya kuelezea anafikiri nini kuhusu jambo fulani, angesimama upande unaopinga ushoga angeua biashara. Kuna watu wengi wanatumia kampeni za kutetea ushoga kupiga pesa kwenye biashara zao, mfano mwangalie mtu kama Lady Gaga.
 
Kumbe hata wabudha wanaishabikia...
Huyu si ndo kazaa na kimora lee
Yeah ndio huyohuyo kazaa nae watoto wawili wa kike sema dizain washamwagana km kawaida ya Mastar
 
Mwanamitindo maarufu wa Tanzania Flaviana Matata alikuwa bega kwa bega na mwekezaji na nguli wa hiphop Russell Simmons katika utambulisho rasmi na kuchangia Flaviana Matata Foundation 'FMF'.
tumblr_ngdxj7AcPp1swsaplo1_1280.jpg

Hayo yalifanyika nchini Marekani katika hafla iliyoudhuliwa na wanamitindo na watu mbalimbali maarufu iliyofanyika kwenye mgahawa wa Beautique, jijini Newyork.

Hio ni picha tu huyo binti ameshachumbiwa mwez uliopita na mangi m1 hiv huko kwao shinyanga!!
 
Baba yake Flaviana kaangukia pua uenyekiti wa Mtaa Mwasele ... Alitoa machozi hakuamini!! Alikuwa anagombea kupitia CCM
 
Kumbe raper diggy ni relative na Russel Simmons
Daniel Dwayne Simmons III, AKA DIGGY! better known by his stage name as Diggy Simmons or commonly just Diggy, is an American rapper and singer and the fourth child of Joseph "Rev. Run" Simmons of Run DMC.
 
Back
Top Bottom