GadoTz
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 370
- 636
Mwanamitindo maarufu wa Tanzania Flaviana Matata alikuwa bega kwa bega na mwekezaji na nguli wa hiphop Russell Simmons katika utambulisho rasmi na kuchangia Flaviana Matata Foundation 'FMF'.
Hayo yalifanyika nchini Marekani katika hafla iliyoudhuliwa na wanamitindo na watu mbalimbali maarufu iliyofanyika kwenye mgahawa wa Beautique, jijini Newyork.
Source:http://www.tznext.com/2014/12/flaviana-matata-na-russell-simmons-bega.html
Source:http://www.tznext.com/2014/12/flaviana-matata-na-russell-simmons-bega.html