Mimi binafsi nampa big up Flavi sababu kuwa karibu na Russell sio kitu kidogo ni kuwa karibu na mafanikio na hii foundation yake itafika mbali navyoona. Anafanya vizuri sana huyu dada.Hii habari inanikumbusha miaka ya nyuma kidogo, magazeti ya udaku ya Shigongo yaliandika eti Flaviana Matata anatoka na mzungu Russell Simon. Baada ya kujikanyaga siku ya pili wakarudia eti anatoka na raper Russell Simmons. Ndio nikajua wale ni waandishi magumashi tu, wakisikia story hata kwenye kijiwe cha wavuta bangi wanakimbilia kuandika tu maandishi mekundu na kijani makuubwa.
Huyo jamaa nilimkubali sana tokea enzi za Def Jam,,,alichoniboa ni msimamo wake wa kuunga mkono ndoa za jinsia moja
Huyo jamaa nilimkubali sana tokea enzi za Def Jam,,,alichoniboa ni msimamo wake wa kuunga mkono ndoa za jinsia moja
Ukoo wa Simmons ni wa kisanaa sana ukianza na Danny Simmons,Jose Simmons(RUN-D-MC) na Diggy Simmons! Russels wa Def Jam yupo safi sana!!
Kumbe hata wabudha wanaishabikia...
Huyu si ndo kazaa na kimora lee
Ni baba yake mdogoKumbe raper diggy ni relative na Russel Simmons
Yeah ndio huyohuyo kazaa nae watoto wawili wa kike sema dizain washamwagana km kawaida ya MastarKumbe hata wabudha wanaishabikia...
Huyu si ndo kazaa na kimora lee
Mwanamitindo maarufu wa Tanzania Flaviana Matata alikuwa bega kwa bega na mwekezaji na nguli wa hiphop Russell Simmons katika utambulisho rasmi na kuchangia Flaviana Matata Foundation 'FMF'.
Hayo yalifanyika nchini Marekani katika hafla iliyoudhuliwa na wanamitindo na watu mbalimbali maarufu iliyofanyika kwenye mgahawa wa Beautique, jijini Newyork.
Kumbe raper diggy ni relative na Russel Simmons
Daniel Dwayne Simmons III, AKA DIGGY! better known by his stage name as Diggy Simmons or commonly just Diggy, is an American rapper and singer and the fourth child of Joseph "Rev. Run" Simmons of Run DMC.Kumbe raper diggy ni relative na Russel Simmons
Kumbe hata wabudha wanaishabikia...
Huyu si ndo kazaa na kimora lee