Flaviana Matata yuko wapi kwa sasa na anafanya nini?

IMG_20230309_063114.jpg

Huyu hapa , amekuwa balozi wa njaa
 
Tangu huyu flavy awe na urafiki na Ally Rehmtullah, hayuko km zaman, na nilijua lazima kuna scandal chafu itamkumbaa lol.

Ma fav n ma idol sijui kapatwa na nn lol.
Poleee yake, namuombea avuke salama ni mapito tyuuh.
 
s

iufunguke sasa unatuacha na udende tu🙄🙄🙄
 
Tangu huyu flavy awe na urafiki na Ally Rehmtullah, hayuko km zaman, na nilijua lazima kuna scandal chafu itamkumbaa lol.

Ma fav n ma idol sijui kapatwa na nn lol.
Poleee yake, namuombea avuke salama ni mapito tyuuh.
Kafanyaje?
 
Back
Top Bottom