Flaviana Matata

Flaviana Matata

Mtoto hufuata ukoo wa baba baba yake ni msukuma mama yake ni mnyambo
Yeye mwenyewe hujitambulisha kwamba ni Mnyambo, nadhani tumuamini yeye bila kujali mchanganyiko wa makabila aliyonayo. Kachagua mwenyewe kuwa Mnyambo.
 
Hivi unajua kila nikiwaza neno hili Mnyambo napata maana nyingine kabisa mimi ni mtu wa hovyo sana🤣😂
 
Yeye mwenyewe hujitambulisha kwamba ni Mnyambo, nadhani tumuamini yeye bila kujali mchanganyiko wa makabila aliyonayo. Kachagua mwenyewe kuwa Mnyambo.
Kuna siku alikuwa anahojiwa na salama akamwambia kama yeye ni mhaya, design kama alikaa akasema yeye msukuma ndipo nilijua baba yake msukuma
 
Beautiful 😍
Tuonyesheni tumbo za wake zenu na manzi zenu huko Kibera na mtogole,
Wake zenu wanavaa hata crop top kama Flaviana?
Mmekalia ooh mbaya, mbaya Gani Sasa,
Uzuri hela😎
Mdeal na broke gals huyu mwacheni
 
Hiyo nguo Ni copy,ishavaliwa Sana na ma celeb wa Ulaya
 
Back
Top Bottom