Flaviana Matata

Flaviana Matata

Na wewe chagua kua mchina, uone tutakutambua vipi.
Inawezekana sana tu, kama haujatembea hilo hauwezi kulifahamu. Wazazi wako wote wanaweza kuwa Wamakonde lakini wewe ukawa Canadian na ukawa unajitambulisha hivyo na unatambuliwa hivyo so sembuse mtu anayejitambulisha kwa kabila la mama yake.
 
Nilivyosema mchina, sikumaanisha uraia. Nilimaanisha ethnicity. Hauwezi kuzaliwa ukiwa msukuma, alafu baadae ukaamua kua mzaramo. Haipo!
 
Kuna kipindi niliskia huwa anapatika karibu na alipo JOHN SINS...
 
Back
Top Bottom