Flavour kumshirikisha Diamond kwenye wimbo mpya

Flavour kumshirikisha Diamond kwenye wimbo mpya

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
Mafanikio ya Nana aliyoshirikishwa na Diamond Platnumz yamemfanya msanii wa Nigeria, Flavour naye kumshirikisha staa huyo wa Tanzania.

Tangu itoke miezi minne iliyopita video ya Nana imefikisha zaidi ya views milioni 4.7 kwenye Youtube na tayari inawania tuzo kadhaa za kimataifa

Flavour aliiambia website ya DSTV kuwa wimbo aliomshirikisha Diamond utatoka siku za usoni. Flavour alisema ameamua kumshirikisha Diamond baada ya kuona ukubwa wake Afrika Mashariki. Aliongeza kuwa Diamond ameonesha kuwa ni mchapakazi na ‘down to earth’ na anaamini kazi yao mpya itahit pia.

SOURCE : BONGO5
 
Sasa ndio paka uanzishe uzi mkuu..

Hongera baba tiffah
 
naisubiri, nampenda Flavour sauti yake yanikunaaa
 
Thread kama hizi kuna watu hawaleti viuno vyao ng'oooo. Ngoja Ije ya kukosa tuzo wanavyojazana lol!
 
TUZO TANO(5)

(1) AYCA- Africa youth choice
Kwa kupost picha ya diamond (insta, facebook, au twitter) na kuandika hivi umepiga kura

@ayca_africa #AfricaYouthChoiceAward #AYCA2015
diamondplatnumz
✔Artist of the year
✔Best male artist

Vote pia kwenye website link
NOMINEES | AFRICA YOUTH CHOICE AWARD | I AM MADE IN AFRICA

==
(2) AEA - African entertainment awards USA Link
https://www.surveymonkey.com/s/VOTEAEA2015
Categories za diamond ni
✔Best male artist
✔Best male single
Piga mara nyingi uwezavyo

==
(3) AFRIMA - All africa music awards. Link
http://afrima.org/index.php/voting
Diamond yupo categories 4
✔Best male artist east africa
✔Artist of the year
✔Song of the year
✔Best African Artist in contemporary

==
(4) AFRIMMA - Africa music magazine awards. Link
Nominees 2015 |
Categories 7
✔Best male east
✔Artist of the year
✔Song of the year
✔Best collaboration
✔Afrimma video of the year
✔best dance video
✔Afrimma inspiration song (àlive)
Piga mara nyingi uwezavyo

==
(5) MTV EMA - Mtv europe music awards. Link
base.mtvema.com/vote
Category ya
✔Best african act
Piga mara nyingi uewezavyo
 
Last edited by a moderator:
Mafanikio ya Nana aliyoshirikishwa na Diamond Platnumz yamemfanya msanii wa Nigeria, Flavour naye kumshirikisha staa huyo wa Tanzania.

Tangu itoke miezi minne iliyopita video ya Nana imefikisha zaidi ya views milioni 4.7 kwenye Youtube na tayari inawania tuzo kadhaa za kimataifa

Flavour aliiambia website ya DSTV kuwa wimbo aliomshirikisha Diamond utatoka siku za usoni. Flavour alisema ameamua kumshirikisha Diamond baada ya kuona ukubwa wake Afrika Mashariki. Aliongeza kuwa Diamond ameonesha kuwa ni mchapakazi na ‘down to earth' na anaamini kazi yao mpya itahit pia.

SOURCE : BONGO5

Huko hawajui siasa uchwara ni kazi tu!!
 
TUZO TANO(5)

(1) AYCA- Africa youth choice
Kwa kupost picha ya diamond (insta, facebook, au twitter) na kuandika hivi umepiga kura

@ayca_africa #AfricaYouthChoiceAward #AYCA2015
diamondplatnumz
✔Artist of the year
✔Best male artist

Vote pia kwenye website link
NOMINEES | AFRICA YOUTH CHOICE AWARD | I AM MADE IN AFRICA

==
(2) AEA - African entertainment awards USA Link
https://www.surveymonkey.com/s/VOTEAEA2015
Categories za diamond ni
✔Best male artist
✔Best male single
Piga mara nyingi uwezavyo

==
(3) AFRIMA - All africa music awards. Link
Polls

Back
Top Bottom