Floppers Players wa Simba dhidi ya Azam FC

Tukubali tu kwamba Azam alikua Bora kuliko Simba leo.
Watu wamekuweke Akaminko, issa ndala na muguna katikati alafu wewe unabet unaenda na mkude na kapama lazima upoteane.
Nyoni na boko wanachezea uzoefu tu kwa sasa ila mpira ushawakataa.
 
Alaumiwe Mgunda na sub zake za hovyo na kikosi. Ndani ya uwanja floppers wa kutisha ni Nyoni, Boko kama Kawa, yule Kyombo sijui ni kitete yaani fowards za kibongo huwa hazitulii kabisaaa mbele ya lango.

Ni hayo tu.
Yaaaana mgunda abang'ang'ania wachezaji waliochoka sijui kisa mi wabongo, yule kyombo kacheza nn nyoni mzee awez kasi ya vijana bokko wa nn sasaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…