Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Alaumiwe Mgunda na sub zake za ovyo na kikosi. Ndani ya uwanja floppers wa kutisha ni Nyoni, Boko kama kawa, yule Kyombo sijui ni kitete yaani fowards za kibongo huwa hazitulii kabisaaa mbele ya lango.
Ni hayo tu.
Ni hayo tu.