NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Ipo pale makumbusho mkuu 🤣🤣Simba kapakatwa pub
Ni juzi tu mlimsifia alipoingia kwenye mechi dhidi ya Yanga😎Kwa nini alimpamga na ni mchezaji wa kawaida sana
Acheni mihemko kufungwa ni jambo la kawaida.Bocco,,nyoni,,matola ni watu wa ten percent pale Simba....
Timu wanapanga wao,, Mgunda aeingia kwenye trap ya kpuuz.
Utaona Mgunda atatimuliwa matola atabaki,,trust me....
Kwani makolo wanajielewaHii ndo kauli ya kisoka. Huyu Kyombo ndo wiki iliyopita aliandikiwa Uzi humu kwamba ni forward Bora mzawa Kwa Sasa?
Inawezekana hao wachezaji wanatumia "sayansi ya Kiafrika" ili wapangwe.Yaaaana mgunda abang'ang'ania wachezaji waliochoka sijui kisa mi wabongo, yule kyombo kacheza nn nyoni mzee awez kasi ya vijana bokko wa nn sasaaa
Kocha ambaye yuko siliasa kutafuta matokeo tena mbele ya timu ngumu kama Azam hawezi kumchezesha Nyoni ambae hata kwenye kikosi cha kagera hawezi kupata namba.Acheni kutafuta wa kumuangushia jumba bovu, mpira ni mchezo wa makosa.
Akaminko yeye na nnMgunda hana makosa, kyombo yeye na nyavu kapaisha
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Waambie wabishi mnoTukubali tu kwamba Azam alikua Bora kuliko Simba leo.
Watu wamekuweke Akaminko, issa ndala na muguna katikati alafu wewe unabet unaenda na mkude na kapama lazima upoteane.
Nyoni na boko wanachezea uzoefu tu kwa sasa ila mpira ushawakataa.
Mgunda hana tatizo mzee, ila huo utatu aliousema hapo juu ...ni kansaAcheni mihemko kufungwa ni jambo la kawaida.
Mbona ni juzi tu mmemsifia Mgunda na kudiriki kusema qpewe mkataba.
Tulieni mpira sio kelele za kupaaza sauti kwenye kipaazio cha msikiti
Ifike muda wakubali kuwa Azam waliwazidi mbinu basi.Mgunda hana tatizo mzee, ila huo utatu aliousema hapo juu ...ni kansa
Jahazi limeshazama tayari! Mjipange kwa mechi zijazo.Alaumiwe Mgunda na sub zake za hovyo na kikosi. Ndani ya uwanja floppers wa kutisha ni Nyoni, Boko kama Kawa, yule Kyombo sijui ni kitete yaani fowards za kibongo huwa hazitulii kabisaaa mbele ya lango.
Ni hayo tu.
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Hakika mkuu,,Muda si mrefu mtagundua kwa nn mwanzoni Coastal walimfukuza Mgunda
Ila nyinyi majamaa bhana! Ni juzi htu hapa mlikuwa mnamwagia sifa kedekede Guardiola wenu mnene! Halafu leo mnaanza kumsimanga eti baada ya kupokea kichapo kitakatifu.Hakika mkuu,,
Hili suala la mgunda Kuna upigaji ndani yake,
Sio bure,,
Yaani Simba itegemee kuchukuwa CAF Kwa kocha ambaye timu imenusurika kushuka daraja?
Pep mnene naona watu wanataka kumla kichwa....nyie mashabaki bwana.Mhhh ramli zimeanza sasa tutasikia na kusoma mabandiko mengi.
Mshabiki wa Simba daima
Kweli kabisa ndo maana mliwatoa al hilal kwa mikwaju ya penalty Caf champions leagueSimba ni mbovu tulishayasema haya toka muda
Yanga ana quality lakini simba anakuwa na form then form is temporary but quality (class is permanent)
Mtasema sana kisha mtalala[emoji3][emoji3]Alaumiwe Mgunda na sub zake za hovyo na kikosi. Ndani ya uwanja floppers wa kutisha ni Nyoni, Boko kama Kawa, yule Kyombo sijui ni kitete yaani fowards za kibongo huwa hazitulii kabisaaa mbele ya lango.
Ni hayo tu.
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Kama hujui mashabiki wengi wa simba ni wapumbavu na huwa hataki kujifunza na kuelimika.Ila nyinyi majamaa bhana! Ni juzi htu hapa mlikuwa mnamwagia sifa kedekede Guardiola wenu mnene! Halafu leo mnaanza kumsimanga eti baada ya kupokea kichapo kitakatifu.
Bado nijiuliza sijapata majibu kama benchi la ufundi lilipanga kumalizia "nyumba zao" au??? Kwa style ya uchezaji ya Azam, nilitarajia Mgunda kuwatumia zaidi wachezaji wenye uwezo wa kumiliki mpira na nguvu ya kwenda mbele na kurudi nyuma. Kibu, Sakho, Banda na Okwa mechi iliwapasa tangu mwanzo. Hawa wachezaji wana uwezo wa ku possess mpira. Pia kwa kuwa Kanoute, Mzamiru hawapo nilitaraji Inonga kucheza mido na nyuma kuwepo na Kennedy au Ouatara mechi hii.Tukubali tu kwamba Azam alikua Bora kuliko Simba leo.
Watu wamekuweke Akaminko, issa ndala na muguna katikati alafu wewe unabet unaenda na mkude na kapama lazima upoteane.
Nyoni na boko wanachezea uzoefu tu kwa sasa ila mpira ushawakataa.