Floppers Players wa Simba dhidi ya Azam FC

Floppers Players wa Simba dhidi ya Azam FC

Bocco,,nyoni,,matola ni watu wa ten percent pale Simba....
Timu wanapanga wao,, Mgunda aeingia kwenye trap ya kpuuz.
Utaona Mgunda atatimuliwa matola atabaki,,trust me....
Acheni mihemko kufungwa ni jambo la kawaida.

Mbona ni juzi tu mmemsifia Mgunda na kudiriki kusema qpewe mkataba.

Tulieni mpira sio kelele za kupaaza sauti kwenye kipaazio cha msikiti
 
Acheni kutafuta wa kumuangushia jumba bovu, mpira ni mchezo wa makosa.
Kocha ambaye yuko siliasa kutafuta matokeo tena mbele ya timu ngumu kama Azam hawezi kumchezesha Nyoni ambae hata kwenye kikosi cha kagera hawezi kupata namba.
Kwa mechi ya leo kocha hawezi kukwepa lawama.
 
Tukubali tu kwamba Azam alikua Bora kuliko Simba leo.
Watu wamekuweke Akaminko, issa ndala na muguna katikati alafu wewe unabet unaenda na mkude na kapama lazima upoteane.
Nyoni na boko wanachezea uzoefu tu kwa sasa ila mpira ushawakataa.
Waambie wabishi mno
 
Acheni mihemko kufungwa ni jambo la kawaida.

Mbona ni juzi tu mmemsifia Mgunda na kudiriki kusema qpewe mkataba.

Tulieni mpira sio kelele za kupaaza sauti kwenye kipaazio cha msikiti
Mgunda hana tatizo mzee, ila huo utatu aliousema hapo juu ...ni kansa
 
Hakika mkuu,,

Hili suala la mgunda Kuna upigaji ndani yake,

Sio bure,,

Yaani Simba itegemee kuchukuwa CAF Kwa kocha ambaye timu imenusurika kushuka daraja?
Ila nyinyi majamaa bhana! Ni juzi htu hapa mlikuwa mnamwagia sifa kedekede Guardiola wenu mnene! Halafu leo mnaanza kumsimanga eti baada ya kupokea kichapo kitakatifu.
 
Simba ni mbovu tulishayasema haya toka muda

Yanga ana quality lakini simba anakuwa na form then form is temporary but quality (class is permanent)
Kweli kabisa ndo maana mliwatoa al hilal kwa mikwaju ya penalty Caf champions league
 
Tukubali tu kwamba Azam alikua Bora kuliko Simba leo.
Watu wamekuweke Akaminko, issa ndala na muguna katikati alafu wewe unabet unaenda na mkude na kapama lazima upoteane.
Nyoni na boko wanachezea uzoefu tu kwa sasa ila mpira ushawakataa.
Bado nijiuliza sijapata majibu kama benchi la ufundi lilipanga kumalizia "nyumba zao" au??? Kwa style ya uchezaji ya Azam, nilitarajia Mgunda kuwatumia zaidi wachezaji wenye uwezo wa kumiliki mpira na nguvu ya kwenda mbele na kurudi nyuma. Kibu, Sakho, Banda na Okwa mechi iliwapasa tangu mwanzo. Hawa wachezaji wana uwezo wa ku possess mpira. Pia kwa kuwa Kanoute, Mzamiru hawapo nilitaraji Inonga kucheza mido na nyuma kuwepo na Kennedy au Ouatara mechi hii.
1. Manuka
2. Kapama/Kennedy
3. Hussein
4. Kennedy/Ouatara
5. Joash
6. Inonga/
7. Sakho
8. Chama
9. Kibu
10. Phiri
11. Okrah

Nyoni, Bocco hawakupaswa kuwepo hata kwenye sub kwa game ya leo. Ni mechi ya nguvu na ufundi tu.
 
Back
Top Bottom