Floppers Players wa Simba dhidi ya Azam FC

Mgunda asipokuwa mkali kuachana ushikaji na hawa wachezaji wazawa wazee kutaka kufuruhisha genge watamponza, makocha wote duniani wenye mafanikio ni wale bla bla hawana wala hawana rafiki, rafiki zao ni wale wa kiwango unahudumia team unacheza hakuna ushikaji ili wakupende. Sakha na mapungufu yake sio wakuwekwa bench na kina Kyombo hayuko serious. Hawa kina Boko watamponza soon.
 
Mashabiki wa kibongo, huwa wanafiki sanaaaaa
 
Ila Mgunda sio wa kumjadili kwa sasa ni kocha mzuri lazima apewe nafasi asijadiliwe kwa mechi moja ila ajadiliwe kwa malengo ya club, kuwa na siku mbaya kupo hata kina Arteta, Klopp wameshakuwa na wakati mbaya lakini wanapewa support na makosa yanarekebishwa sidhani ni sawa zote leo kuwa makocha, ila anaglizi Mgunda sio kuacha kuwatumia washkaji ila kuna washikaji sio hawastahili kucheza ila walitakiwa kuachwa kabisa na club umri na viwango hakuna. Ok full back wagonjwa lakini kocha kazi yake kuja na mfumo nadhani ilikuwa nafasi nzuri kucheza 3 nyuma badala 4 ni maoni tu. Ushikaji na hawa wachezaji au Matola ukome, Mimi sijawahi kuona huko majuu kocha msaidizi kusimama na kutoka maelezo kwa wachezaji hiyo kazi ya kocha mkuu. wewe msaidizi kaa kwenye bench unatoa ushauri ukiulizwa au huku umekaa.
 
Kwenye hii mechi hakuna namna Mgunda atakwepa lawama. Hatukatai amekuwa na mwanzo mzuri ila Kwa Leo big No.
Je,hakufanya tafiti namna ya Azam wanavyocheza?
Dakika chache za mwanzoni zilishaonesha mbinu zake zimefeli, hakuwa na mawazo mbadala ya nini Cha kufanya?
 
Muda umewadia kwa simba kuachana na kina Bocco, Mkude, Nyoni hata huyu garasa kiyombo na wasajili wachezaji wa maana wa ushindani.
 
Tatizo la Simba na Yanga wanataka washinde kila mechi jambo ambalo sio rahisi.
 
Kwani makolo wanajielewa
Ukiwasikia wanavyoisifu timu yao utadhani Ina hashi ya mamelodi au WAC kumbe utelembwe mtupu
Utopolo wazuri mbona miaka 24 hawajawai kuingia makundi Caf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…