DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mmgeshinda , mgempa sifa Mgunda ,kiufupi nyie wabongo Ni wapumbavu mnakaa kulalamika wakati hamjui kitu kuhusu soka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachezaji wetu huwa nguvu nyingi akili kidogo.Wanachojuaga ni kubutua tu mpira kwa manguvu.ilo goli alilofunga dube ule mpira angekua nao mshambuliaji wa kibongo angepiga lishuti kubwaaa lakubutua lisilokua na malengo yoyote.Mgunda hana makosa, kyombo yeye na nyavu kapaisha
Huyo mwenye hiyo ndoto za simba kuchukua kombe CAF mwambie aamke atakojoa kitandani.Hakika mkuu,,
Hili suala la mgunda Kuna upigaji ndani yake,
Sio bure,,
Yaani Simba itegemee kuchukuwa CAF Kwa kocha ambaye timu imenusurika kushuka daraja?
Huu ugonjwa Tanzania sijui utaisha lini!Acheni mihemko kufungwa ni jambo la kawaida.
Mbona ni juzi tu mmemsifia Mgunda na kudiriki kusema qpewe mkataba.
Tulieni mpira sio kelele za kupaaza sauti kwenye kipaazio cha msikiti
Hii hali hujulikana kama kuipenda timu badala ya kuupenda mpira.Huu ugonjwa Tanzania sijui utaisha lini!
Na hiki kipigo ni lazima kimchanganye jamaaMuda si mrefu mtagundua kwa nn mwanzoni Coastal walimfukuza Mgunda
Utopolo wazuri mbona miaka 24 hawajawai kuingia makundi CafKwani makolo wanajielewa
Ukiwasikia wanavyoisifu timu yao utadhani Ina hashi ya mamelodi au WAC kumbe utelembwe mtupu
Hivi Kuna kombe LA makundiUtopolo wazuri mbona miaka 24 hawajawai kuingia makundi Caf
wanampatia chochote na niwepesi kushikishwa MADOGORISijawahi kuwa na imani na wachezaji wa kibongo na huyu kocha anawapenda sana, sasa ngoja muone aibu
Mkuu , kimbia huyo Aly hilaly anakuja.Simba ni mbovu tulishayasema haya toka muda
Yanga ana quality lakini simba anakuwa na form then form is temporary but quality (class is permanent)