Flora Lymo a.k.a Mbuta Nanga

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
6,385
Reaction score
7,332
wadau
Hivi hawa wenzetu wanapokua huko majuu ni kwa nini most of them huwa wanafanya ulimbukeni tuuu instead ya kutumia nafasi wanazozipata kujiendeleza na kuiwakilisha vema tanzania, natoa mfano mdogo tu wa huyu mbuta nanga, hivi ana matatizo ya ubongo?? ukija kwa mange kimambi yani hana shughuli zaidi ya kufatilia maisha ya watu na kuandika umbea kwenye blog yake

role model wao lemutuz ndo hovyo kabisaaaaa
 

Attachments

  • FLORA LYIMO NE CHUPI 2014 040.JPG
    101 KB · Views: 2,926
  • FLORA LYIMO NE CHUPI 2014 048.JPG
    105.5 KB · Views: 2,872
  • FLORA LYIMO NE CHUPI 2014 067.JPG
    96.7 KB · Views: 3,020
  • FLORA LYIMO NE CHUPI 2014 044.JPG
    109.7 KB · Views: 2,712
  • FLORA AT TID SHOW IN LONDON 2013 078.JPG
    38.7 KB · Views: 2,707

yaani kama hamnazo flani hivi, hapo anatangaza chupi zake, huyo ndio MBUTA NANGA
 

Attachments

  • 10154660_10152332201076271_286974520_n+%282%29.jpg
    77.3 KB · Views: 2,348
Namkumbuka sana Baba wa Taifa,aliwajua hawa mafisi kisawasawa.Huyu mama wa barabarani ana hadhi gani ya kupeana mkono na Rais wa nchi?
 
Huna cha Frola Lyimo wala nini shida yako ilikuwa kumtaja Mange tu , Mnataka aandike kuhusu Wanyama Jamani ? Too much vigisufigisu mfyuuuuuuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…