Flora Lymo a.k.a Mbuta Nanga

Flora Lymo a.k.a Mbuta Nanga

Yaani uko majuu wadada wakibongo wanatia aibu haswa mitandaoni wanavyotukanana wakiamua sasa afu mitusi ya kizamaniiiii ileeee siwaelewagi kabisa maana hawana stara hata sijui ndio kujiona wazungu nawao kisa wamekaa uzunguni
Inabidi wajitambue haswa kutoa lugha chafu inakera afu ni mimama mijitu mizima na elimu za nzuri tu
 
wadau
Hivi hawa wenzetu wanapokua huko majuu ni kwa nini most of them huwa wanafanya ulimbukeni tuuu instead ya kutumia nafasi wanazozipata kujiendeleza na kuiwakilisha vema tanzania, natoa mfano mdogo tu wa huyu mbuta nanga, hivi ana matatizo ya ubongo?? ukija kwa mange kimambi yani hana shughuli zaidi ya kufatilia maisha ya watu na kuandika umbea kwenye blog yake

role model wao lemutuz ndo hovyo kabisaaaaa

Zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM " zidumu".Hafadhali flora Ana biashara .Watu walio majuu ni wambea wazushi na watunga story. .MAISHA YA USA yanahitaji self discipline and independent mind otherwise utajikuta pabaya.
 
Yaani uko majuu wadada wakibongo wanatia aibu haswa mitandaoni wanavyotukanana wakiamua sasa afu mitusi ya kizamaniiiii ileeee siwaelewagi kabisa maana hawana stara hata sijui ndio kujiona wazungu nawao kisa wamekaa uzunguni
Inabidi wajitambue haswa kutoa lugha chafu inakera afu ni mimama mijitu mizima na elimu za nzuri tu

Wengi ni wivu tu wamaisha.
 
Namkumbuka sana Baba wa Taifa,aliwajua hawa mafisi kisawasawa.Huyu mama wa barabarani ana hadhi gani ya kupeana mkono na Rais wa nchi?

Wewe nimeandika Hapo chini before sijasoma comment .Nyrerere ilikuwa kazi kwenda majuu he was smart.wengine hawafai
 
Ila mi namwona yuko poa sana anajituma,kujiachia hivo inahitaji moyo

Wakati tunapiga soga humu mwenzetu anaingiza dolar huko alipo hayo makitu afanyie hukohuko kwa waliopinda kama inalipa akija hapa bongo awe na heshima na adabu halafu msisahau na wale dada zetu wanaochipuka kama uyoga kijifanya wanaenda china kuchukua bidhaa wanayoyafanya huko ni zaidi ya firauni .
 
huyu anafanya biashara zake kama upo insta utamwona kwenye biashara zake,sema anavyojiachia akiwa bongo asijaribu watamharibu.
 
Mbuta uko juuuuuuuu......nikiangalia background yako na unavyojituma....utafika mbali mamiii,kaza buti
 
Yaaani....kaaaahh...kuna wanawake wana SURA MBAYA jamaniii...nguo zinaficha mengi....yaani kinyaaaaaa....huyu nikimuona uchi live naondoka ktk eneo la tukio.....uchafuuu uchafuuu...
 
Yaani uko majuu wadada wakibongo wanatia aibu haswa mitandaoni wanavyotukanana wakiamua sasa afu mitusi ya kizamaniiiii ileeee siwaelewagi kabisa maana hawana stara hata sijui ndio kujiona wazungu nawao kisa wamekaa uzunguni
Inabidi wajitambue haswa kutoa lugha chafu inakera afu ni mimama mijitu mizima na elimu za nzuri tu

hahahaha wauza mbunye wanajitoa ufahamu
 
Back
Top Bottom