Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wadau
Hivi hawa wenzetu wanapokua huko majuu ni kwa nini most of them huwa wanafanya ulimbukeni tuuu instead ya kutumia nafasi wanazozipata kujiendeleza na kuiwakilisha vema tanzania, natoa mfano mdogo tu wa huyu mbuta nanga, hivi ana matatizo ya ubongo?? ukija kwa mange kimambi yani hana shughuli zaidi ya kufatilia maisha ya watu na kuandika umbea kwenye blog yake
role model wao lemutuz ndo hovyo kabisaaaaa
Yaani uko majuu wadada wakibongo wanatia aibu haswa mitandaoni wanavyotukanana wakiamua sasa afu mitusi ya kizamaniiiii ileeee siwaelewagi kabisa maana hawana stara hata sijui ndio kujiona wazungu nawao kisa wamekaa uzunguni
Inabidi wajitambue haswa kutoa lugha chafu inakera afu ni mimama mijitu mizima na elimu za nzuri tu
Namkumbuka sana Baba wa Taifa,aliwajua hawa mafisi kisawasawa.Huyu mama wa barabarani ana hadhi gani ya kupeana mkono na Rais wa nchi?
Ila mi namwona yuko poa sana anajituma,kujiachia hivo inahitaji moyo
huyu bibi ni mchaga?
huyu anafanya biashara zake kama upo insta utamwona kwenye biashara zake,sema anavyojiachia akiwa bongo asijaribu watamharibu.Wakati tunapiga soga humu mwenzetu anaingiza dolar huko alipo hayo makitu afanyie hukohuko kwa waliopinda kama inalipa akija hapa bongo awe na heshima na adabu halafu msisahau na wale dada zetu wanaochipuka kama uyoga kijifanya wanaenda china kuchukua bidhaa wanayoyafanya huko ni zaidi ya firauni .
wachaga hawana tabia za huyu ajuza ndio maana nikaulizaMchaga wa kilema ulikuwa unataka sema nini tukusaidie?
huyu si ndio alibakwa na bwana Lema wa Arusha mjini....?
mguu sasa kama mshikio wa ndoo...mbuta nanga akili zake anazijua mwenyewe!!!
ila angeoana na le mutuz wangependeza
Yaani uko majuu wadada wakibongo wanatia aibu haswa mitandaoni wanavyotukanana wakiamua sasa afu mitusi ya kizamaniiiii ileeee siwaelewagi kabisa maana hawana stara hata sijui ndio kujiona wazungu nawao kisa wamekaa uzunguni
Inabidi wajitambue haswa kutoa lugha chafu inakera afu ni mimama mijitu mizima na elimu za nzuri tu
Ni mfanya biashara mzuri Hilo halina mshindani
Yaaani....kaaaahh...kuna wanawake wana SURA MBAYA jamaniii...nguo zinaficha mengi....yaani kinyaaaaaa....huyu nikimuona uchi live naondoka ktk eneo la tukio.....uchafuuu uchafuuu...