Flora Lymo a.k.a Mbuta Nanga

Hizo chupi kama ni tangazo la biashara inabidi wanunue watu wa namna yake. Utadhani anacheza sarakasi yaani kasimamia mikono! huu sasa ni UCHIZISILIA MALI.
 
Hivi huyu demu kuna mwanaume anamtomba kweli maana hata stimu Mtu hupati...
 
sidhani kama ilikuwa kweli kwa kipi hasa? Alikuwa anatafuta kiki tu huyo
unakataa leo, wakati tukio limeshatokea...! nyege tu ndio zilimpelekea hivyo....
 
Ni mfanya biashara mzuri Hilo halina mshindani

Katuonesha nyumba yake anayoijenga huko kwao Moshi na maduka yake matatu.haya huyo blogger wenu sijui mke wa mzungu ana kipi haswa?kutwa kumuanza mwenzie ugomvi afu kuumaliza hawezi.mwenzie akitukana anatukana ila anachokifanya kinaonekana.anajivalia machupi yake hayo ila pesa zinaingia na anazidi kufungua maduka.Go go go Mbutananga!tunaokuelewa tulishakuelewa kitambo
 
mguu sasa kama mshikio wa ndoo...mbuta nanga akili zake anazijua mwenyewe!!!
ila angeoana na le mutuz wangependeza

coment zako nazipendaga sana kwani zinaniongezea siku za kuishi.
nahisi nikikuona nitakuwowa kabisa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…