Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?


Hiyo link inaumiza kuiangalia...wanaume tumeumbiwa mateso, kuhangaika..
 
Halafu sijui macho yangu yana vidonda..? Mbona mie ninamuona huyu mtoto kafanana na Florah mwenyewe kuliko hao wengine..!
sosoliso mambo ya binadam hutayaweza,habar ya mtoto wa Flora imeandikwa mpaka na Gazet la Mtanzania front Page,juzi nipo kwenye ofisi flani naskia clouds fm wanamuhoj mume wa Flora,
.
Haya mambo wala hayana mantiki kwakweli
 
Last edited by a moderator:
sosoliso mambo ya binadam hutayaweza,habar ya mtoto wa Flora imeandikwa mpaka na Gazet la Mtanzania front Page,juzi nipo kwenye ofisi flani naskia clouds fm wanamuhoj mume wa Flora,
.
Haya mambo wala hayana mantiki kwakweli

Mme wake alisemaje sasa?
 
Last edited by a moderator:
Nadhani huyo mume wake hana haja ya kutumia vyombo vya habari kupambana na huyo Gwajima. Unajua huyu pastor hiyo tabia anayo ila kuna siku atakiri huo udhaifu wake hata kama sio hadharani. Pesa ndo zinampatia kiburi na udhaifu wa dada na wake zetu nao ni chanzo. Yaani sijui huwa anawapumbaza na uchawi gani. Hapo si neno la biblia takatifu kuna namna tu
 
Huyo Mbasha atulie tu kuna siku Flora ataona na kuisikia sauti ya Mungu. Waache kuwafaidisha watu - wanawake ni dhaifu hata biblia inasema tuishi nao kwa akili.
 
Swala la mtoto niwa mbasha au gwajima halituhusu watajua wenyewe;`Nachojiuliza kwa nini mtumishi wa MUNGU ahusishwa Na mambo hayo neno la MUNGU linasemaje juu ya wachungaji?mmmmh
 
Watumishi wengi wanao udhaifu wao. Huyu udhaifu wake ni kwa wanawake. Na is very opportunist akimbamba muumini anayeenda kumlilia msaada wa matatizo ya ndoa. Badala ya kumsaidia kujenga ndoa yao yeye hujiingiza na kuchukua nafasi ya mume then anawafundisha eti mtumishi akikosea usimseme ama kumkatalia mwache mungu adeal naye. Very opportunist kweli huyu pastor!
 
Ni majanga. .....anafikiri kuponyesha ni u taka tofu bila kujua yeye anatumika na roho kama chombo. Wake zetu hilo hawajui. .......unacheza kutongozwa na pastor tajiri wewe.
 
Nani hapendi gari ya Noah ama Opa? Chunguzeni kuna fungu la kusaidia wahitaji kanisani kwake. ....si ajabu ukakuta wengi ndo hao aliowavurugia.
 
Frola tunajua unasoma hapa.
Tujuze basi eeeeh mtumishi
 
sosoliso mambo ya binadam hutayaweza,habar ya mtoto wa Flora imeandikwa mpaka na Gazet la Mtanzania front Page,juzi nipo kwenye ofisi flani naskia clouds fm wanamuhoj mume wa Flora,
.
Haya mambo wala hayana mantiki kwakweli

Unajua Mkuu Mkoroshokigoli hii nchi imeharibika sana.. Tumekuwa taifa la wammbea na la majungu sana.. Kama inafikia hatua hata gazeti la Mtanzania wanaandika habari kama hizi basi hakuna kingine cha kukizungumza..

Nadhani kama taifa tumepoteza dira kabisa.. Tunaongozwa na matukio tu..
 
Last edited by a moderator:
Ninaona wewe unajua mambo mengi sana. Unaweza kutusaidia sana hapa kumaliza huu mjadala na wote tukaridhika kabisa kwamba pasipo shaka mtoto wa Flora si wa Emmanuel, na kwamba ni hakika ni wa mchungaji Gwajima.

1. Unaweza kukumbuka ni siku gani hasa ambayo Flora na Emannuel kwa mara ya mwisho walifanya tendo la ndoa pamoja? Hii itatupa mwanga wa kuondoa kabisa uwezekano wa Emannuel kuwa amezaa na Flora huyu mtoto.

2. Hiyo siku walipofanya tendo la ndoa mara ya Mwisho Flora na Ema, ilikuwa ni kipindi gani katika mzunguko wa hedhi wa Flora? Hapa utakuwa pia unatuongoza kujua kwamba kwa siku ile hapana uwezekano wa Flora kpata mimba hata kama itakuwa ni ndani ya miezi sahihi.

3. Ninaomba pia, kwa kuwa wewe ulina ushahidi kamili, hebu tuambia ratiba ya tendo la zinaa kati ya Flora na Gwajima ilivyokuwa pia ili tulinganishe na ile ratiba ya Emma.

4. Tunaomba utuambie vipimo vya DNA ulivyofanya kwa yule mtot vinasema nini.


5. Unaushahidi gani kwamba maneno yote anayoyasema Emanuel ambaye amethibitika kukimbilia kwenye media zaidi na kukosa uadiifu wa kifamilia kwamba ni ya kweli mpaka umpe haki 100%?

6. Kutetereka kwa ndoa, kutengana kwao, kutuhumiana kukombwa vitu, kutengana n.k, n.k, kulikosikika wakati Flora tayari ni mzamzito, kunaondoaje uwezekano wa kuwa mtoto aliyezaliwa na Flora ni wa Emma?


7. Tabia ya Emma kubaka mtoto wa ndani ya nyumba kwako ni halali tu na haina shida?

8. Unasemaje juu ya Emmanuel Mbasha kushindwa kukana tuhuma za kulala na mtoto wa ndani ambapo wewe unaashdadia kana kwamba unahakika emma ambaye hajakanusha hili, kwamba anasingiziwa?

Tafadhali acheni tabia za namna hii, haziwasaidii.

 
Wapiga tarumbeta wa Pastor naona wameamka sasa. Hamumjui huyo Pastor wenu na ushenzi aliowafanyia wake na dada zetu. Akiwaagiza eti msaidieni huyu kwa pesa za kanisa eti ana matatizo hamjiulizi kama kanisa mtamsaidiaje na matatizo yake. Mnakimbilia kugawa pesa kisa mnazo. ......mnamtunzia baba yenu michepuko yake.
Akiwa hapa Dar hana muda wa kutatua matatizo ya watu labda afuatwe hotelini akiwa na mikutano ya injili. Oneni aibu kuendelea na huo ushenzi.
 
Hayo yote yana mwisho. Pesa na unafiki wa kutembea na biblia isiwe sababu ya kuvuruga maisha ya watu. Aliyempatia hivyo ndo aliyewanyima wengine. Kuna siku ulimwengu utasikia na kuelewa ukweli wa yote yanayosemwa.
Mungu yupo kwa ajili yetu sote
 
Mkuu
Ili iweje. Mtu pekee anayeweza kufumbua kitendawili hiki ni Flora na mhusika.
Kati yetu kama kuna aliyekuwa nao na akaona na kudhibitisha siku hiyo atujue hapa jamvini. Otherwise tutakuwa tuna pepeta majungu.

nani anaweza kuwa baba kwa kutumia macho ya kibinadamu

 

Lakini pia hao waumini wanaokubali ujinga huu wanapaswa kulaumiwa pia. Wewe unakubalije kuzini na mtumishi wakati unajua kabisa kuwa mafundisho yanasema kuzini ni dhambi? Yaani huyo mtumishi mpaka akutamkie ujinga huo huna akili ya kutambua kuwa hapa sipo? Wanatofauti gani sasa na hayo tunayoyasikia kufanyika kwa waganga wa kienyeji?
 
Ni majanga. .....anafikiri kuponyesha ni u taka tofu bila kujua yeye anatumika na roho kama chombo. Wake zetu hilo hawajui. .......unacheza kutongozwa na pastor tajiri wewe.

Hao wake zenu ni ma loose balls kama wanaloanisha chupi wakiona mtu tajiri! Acha uzandiki wewe Shetani uliyevaa umbo la mwanadamu!
Tena nafikiri wanagegedwa na kina bharesa na manji manake wameolewa na wanaume masikini kama wewe kazi kupika majungu kwenye mitandao huku huna hata shilingi mfukoni!
 
Mambo yako usituletee hapa mbasha peleka hukohuko nyumbani kwenu ndomaana unabaka alafu unakuja kutuletea ujinga wako tuujadili na kujiliza hovyo kwani mwanamke ndo huyo peke yake kama kweli wewe mwaume mpaka sasa unaishi na nani? Tafuta maisha acha kujidhalilisha kwenye media.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…