Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?

Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?

halafu mkishamjua baba wa mtoto inakuaje?
 
Hongera sana baba mtoto na dada flora kwani usiku huu mtakuwa na furaha sana ingawa sijui bi mkubwa atajisikiaje ama itabidi ashinde akisali kanisani. Duniani hakuna siri tena - neno lasema mtumishi atakula madhabahuni pake na asiulizwe.
 
Ila baba umjanja sana yaani ili uweze kumtunza mwanao vizuri ukamwambia alianzishe ile uweze kumpatia matunzo kwa mgongo wa kanisa eti muumini wenu amepata matatizo kumbe wamtunza mwanao.
 
hongera yake lakini alisha sema baba wa mtoto ni yule wa zamani.
 
Sasa uhakika wa Noah upo zawadi ya kumleta mtoto na kukusaidia mizunguko yako ya kliniki. Mzee wa Noah na Opa ashindwe mwenyewe kuonyesha upendo wa kibaba!
 
Hongera Sana Flora kwa kupata mtoto mwingine, Mtoto mzuriii jamaniii. Sasa hii ya kusema mtoto ni wanani tunakuachia mwenyewe ndo unaujua ukweli.....
 
Attachments

  • 1423029189859.jpg
    1423029189859.jpg
    68.1 KB · Views: 24,804
Hongera zake mtoto mzuri na ana afya. Midomo hapo imefanana na mtu mmmh!!!
Bado mdogo kujua kafanana na nani hasa. Hongera wote wanne.
 
bado nimapema kutambua kwa sasa mpaka baadaye!
 
Hongera zake mtoto mzuri na ana afya. Midomo hapo imefanana na mtu mmmh!!!
Bado mdogo kujua kafanana na nani hasa. Hongera wote wanne.
Hapo kwenye rangi ya VALENTINE.
Hahahahahahahahahaha! watu mna maneno nyie.

Ila tukumbuke ule usemi unaosema "YOU ARE SURE WITH YOUR MOTHER BUT NOT YOUR FATHER"
hata mimi na wewe tuna uhakika na mama zetu lakini sio baba zetu.
 
Akina dada na akina mama hapa ndo maeneo yao ya kujidai.
Nakumbuka kaka yangu alipompa mimba mdada flani, yaani walivyoenda akina dada na mama wakasema yule ni mtoto wetu, japo kalikuwa bado kachanga, sijui wana macho gani hawa watu! wakati mimi niliangukia pua.
 
Huo ndo ukweli kabisa mkuu
 
Watu na taaluma zao mdau,hata wazee wapo sensitiv na hiz mambo
 
Back
Top Bottom