Hapo kwenye rangi ya VALENTINE.Hongera zake mtoto mzuri na ana afya. Midomo hapo imefanana na mtu mmmh!!!
Bado mdogo kujua kafanana na nani hasa. Hongera wote wanne.
wabongo mwapenda sana uchuro uchuro tu...
Hapo kwenye rangi ya VALENTINE.
Hahahahahahahahahaha! watu mna maneno nyie.
Ila tukumbuke ule usemi unaosema "YOU ARE SURE WITH YOUR MOTHER BUT NOT YOUR FATHER"
hata mimi na wewe tuna uhakika na mama zetu lakini sio baba zetu.
Akina dada na akina mama hapa ndo maeneo yao ya kujidai.
Nakumbuka kaka yangu alipompa mimba mdada flani, yaani walivyoenda akina dada na mama wakasema yule ni mtoto wetu, japo kalikuwa bado kachanga, sijui wana macho gani hawa watu! wakati mimi niliangukia pua.