Flora Mbasha ajifungua, nani baba wa mtoto?

Kwelikajifungua mamanamtoto wanaendelea poa. Swala LA niwanani msemaji wafamili yukohumu atatoa maelezo
 
Stupid Post kama akili yako ilivyo. Hiyo story peleka Issa michuzi
Akikuleteapicha utamwita. Stupid a ama punguza ukaliwamaneno kijana
 
Kama umesomea ebu tuambie umeelewa nini apo mkuu
Ningekuwa natokea familia ya GWAJIMA ama ya MBASHA ningesema kwa kuangalia tu ningejua, lakini kwa vile simo kati ya hizo familia siwezi fahamu chochote.

"Recognition at first glance" inasema kama una ujuzi wa mambo flani, kitu ukikiona kwa mara ya kwanza unakijua kuwa kinamaanisha nini?
Sijajua kama nimeeleweka!
 
Kisa cha Flora kukimbilia mahakamani kuomba talaka ni kumwepusha baba wa mtoto kuburuzwa na mme mwenza. Hiyo haitasaidia kwani ni bora sasa kabla ya talaka mahakama iamuru DNA ili wakiachana malezi ya watoto yawekwe sawa. Itaondoa pia hizi tetesi kwa kipenzi chetu bishop.
 
Mkuu ugomvi wao ulikuja public mwezi mei mwaka na wakat huo flora hajagongana na mume wake miez miwili. Kwa hyo mbasha aliona ndani mara ya mwisho mwezi march mwaka Jana. Sasa toka cku hyo mpk Leo ni miez mingapi
 
What is your recognition at first glance with regard to the subject?.
 
as long as hakuna anaetoa hela ya matumizi ya mtoto sidhani kama ni kazi ya mtu yoyo kujua Baba mtoto ni nani,sababu hakuna mtakacho zidisha mkijua wala mtakacho punguza mkijua............
Kwa hiyo mtu akililia wembe mpe ni sahihi? Mkuki kwa....
 
Kwa hiyo mtu akililia wembe mpe ni sahihi? Mkuki kwa....
Hao ni watu wazima na mamuzi yao,hayo ya mtoto akililia wembe sijui una maanisha nini sababu hapo hakuna mtoto mdogo wote ni watu wazima na shughuli zao.............
 
Hao ni watu wazima na mamuzi yao,hayo ya mtoto akililia wembe sijui una maanisha nini sababu hapo hakuna mtoto mdogo wote ni watu wazima na shughuli zao.............
Wewe unadhani Mbasha hana maumivu kama wewe ulivyo na mtoto wa shemejio?
 
Mkuu ugomvi wao ulikuja public mwezi mei mwaka na wakat huo flora hajagongana na mume wake miez miwili. Kwa hyo mbasha aliona ndani mara ya mwisho mwezi march mwaka Jana. Sasa toka cku hyo mpk Leo ni miez mingapi
Kwa vyovyote vile mimba iliingia mwezi April 2014 kama taarifa zako ni sahihi
 
What is your recognition at first glance with regard to the subject?.
Because Iam not belonging to neither Gwajima nor Mbasha family, my Recognition at first glance cannot work well. In order it to work well you must be familiar or experience with the situation or object or area. In Recognition at first glance there something known as "Compare and Contrast" In regard with this matter, I cannot do compare and contrast, because I lack something, but I if I could be belonging to one of the family I could say something after Recognition at first glance
 
Wewe unadhani Mbasha hana maumivu kama wewe ulivyo na mtoto wa shemejio?
Wapi nimesema kama Mbasha Hana maumivu? nadhanani umenisoma vibaya..

as long as hakuna anaetoa hela ya matumizi ya mtoto sidhani kama ni kazi ya mtu yoyo kujua Baba mtoto ni nani,sababu hakuna mtakacho zidisha mkijua wala mtakacho punguza mkijua............
 
Waimba nyimbo za injili hawana tofauti na wasanii wengine.Gwajima atakuwa kagegeda wanawake wengi sana huyu ndo imebuma,hata we msomaji mkeo huenda kagegedwa sana tu,huoni anavomsifia Gwajima
 
Why give a bitch your heart When she rather have a purse? Why give a bitch your inch When she rather have nine?---------Loyal:shocked:
 
Tatizo watu hampendi kusema kweli,huyo mtoto ni wa mch.Gwajima kwasababu angalia sura ya mtoto na gwajima ni mulemule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…