Hongera Sana Flora kwa kupata mtoto mwingine, Mtoto mzuriii jamaniii. Sasa hii ya kusema mtoto ni wanani tunakuachia mwenyewe ndo unaujua ukweli.....
Daah, nilikuwa nafatilia kulf fb aisee kama ni kweli mtoto ni wa Gwajima, je kama mchg inakuwaje unazaa na mke wa mtu? je gwajima ana mke au?Je huu ndio utumishi? ninakitabu cha gwajima kinaitwa mega church amezungumzia kuhusu jinsi waumini wanavyopaswa kuwaheshimu wake za Watumishi, inakuwaje leo? Flora kama kweli amezaa na gwajima kumbe kelele za kumpakazia kubaka mmewe Emma ilikuwa ni uongo ili ale maisha ya kitapeli na Gwajima? Hakika Mungu anaishi. Mungu mtie nguvu Enanuel kijana mwenzetu.
hata kama ni mapenzi yaani unasaliti mpaka unazaa nje ya ndoa tena ya kanisani?[/QU
Nimeona Id yko nimeipenda najua kumbe kuna ndugu humu wote wa kgm mjn
Daah, nilikuwa nafatilia kulf fb aisee kama ni kweli mtoto ni wa Gwajima, je kama mchg inakuwaje unazaa na mke wa mtu? je gwajima ana mke au?Je huu ndio utumishi? ninakitabu cha gwajima kinaitwa mega church amezungumzia kuhusu jinsi waumini wanavyopaswa kuwaheshimu wake za Watumishi, inakuwaje leo? Flora kama kweli amezaa na gwajima kumbe kelele za kumpakazia kubaka mmewe Emma ilikuwa ni uongo ili ale maisha ya kitapeli na Gwajima? Hakika Mungu anaishi. Mungu mtie nguvu Enanuel kijana mwenzetu.
hata kama ni mapenzi yaani unasaliti mpaka unazaa nje ya ndoa tena ya kanisani?
Ngoja wadau watusaidie
...tena sana...kuna wengine wako kule jukwaa la celebrity wanasubiri umbeya wa eric shigongo toka juzi....
Ondoa uzushi wako wa kishetani hapa. Kwenda huko pepo uwongo!!!!!!!!!!!.
Pyuuuuuuuuuu!.
Mtaendelea kujijengea laana hadi lini? Mtamsaidia shetani huku mkidhani mnajifurahisha hadi lini? Kwenda zako kule.